MEYA MWITA AUNGANA NA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPIMA MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU
HomeJamii

MEYA MWITA AUNGANA NA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPIMA MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akijiandaa kupima Kisukari Feruari 11 aliposhiriki kongamano la kupima Magonjwa ya Kis...

WAKAZI WA MWANZA WATAKIWA KUITUMIA KAMPUNI YA MWANA KWA ULINZI WAO
VIDEO; KAMATI YA BUNGE YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI.
WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA DAR, KINONDONI KUKAGUA MRADI WA TASAF


Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akijiandaa kupima Kisukari Feruari 11 aliposhiriki kongamano la kupima Magonjwa ya Kisukari na Presha.



Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akipata kipimo cha Presha kutoka kwa Dokta Mahmod Shahamati ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha Afya cha Iranian kilichopo jijini hapa.

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita  ameungana na wakazi wa jijini hapa katika kongamano la kupima Magonjwa ya Kisukari na Presha lililoandaliwa na Lions Clubs International kwa kushirikiana na Kituo cha Afya cha Irania kilichopo jijini hapa.

Katika kongamano hilo Meya Mwita amewapongeza waandaaji na kuwaeleza kuwa wasiishie hapo hivyo wafikishe huduma hiyo kwenye halmashauri nyingine za jiji la Dar es Salaam ili wananchi wote waweze kupata huduma hiyo.

Meya Mwita amesisitiza kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kucheki afya zao hususani inapojitokeza fursa hizo kwa kuwa baada ya kupata majibu ya vipimo hivyo inawapa urahisi katika kupata matibabu.Amesema Taasisi hizo zimekuwa na mchango mathubuti kwa wananchi kutokana na uzalendo mkubwa waliokuwa nao na hivyo kuwasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma hiyo.

"Jambo hili ni muhimu sana, ninawapongeza, ombilangu kwenu, angalieni namna ya kuendelea kuwasaidia wananchi wengine katika jiji letu la Dar es Salaam, huduma hii ni ya muhimu sana na kila mwananchi anahitaji kuipata" amesema Meya Mwita.

Awali akimkaribisha Meya Mwita, Rais wa Lions Clubs Shaheen Alam amempongeza na kumueleza kuwa wamekuwa wakitoa huduma hiyo kwa kushirikiana na Kituo cha Afya cha Iranian kwa lengo la kuwasaidia wananchi kutambua afya zao.

(Imetolewa Februali 11 na Christina Mwagala Afisa Habari Ofisi ya Meya wa Jiji)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MEYA MWITA AUNGANA NA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPIMA MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU
MEYA MWITA AUNGANA NA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPIMA MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjH7fH8HQfvyZ_xHWPED9UAkrfngjBRUPylpwzuY2MICSyEMyky8ps1QA_wgDJle7xFLFSFaMSWFRSXbg5fsH4ZBBl1wudja8IK0KDaEi0MZxd-hpXMPkgkaBcJtGNeW5J3cdgWxsM7LQAN/s640/index.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjH7fH8HQfvyZ_xHWPED9UAkrfngjBRUPylpwzuY2MICSyEMyky8ps1QA_wgDJle7xFLFSFaMSWFRSXbg5fsH4ZBBl1wudja8IK0KDaEi0MZxd-hpXMPkgkaBcJtGNeW5J3cdgWxsM7LQAN/s72-c/index.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/meya-mwita-aungana-na-wakazi-wa-jiji-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/meya-mwita-aungana-na-wakazi-wa-jiji-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy