MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 21, 2018
HomeMagazeti

MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 21, 2018

...

MAGAZETI YA LEO AGOSTI 15 2017
MAGAZETI YA JUMATATU LEO AGOSTI 14,2017
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOST 13 2017































































Kamati ya Ushauri ya
Wilaya ya
Lushoto (DCC) imeamua kusitisha mpango wa ujenzi wa jengo la Halmashauri
ya Bumbuli lilokuwa lijengwe kwenye eneo jipya la Kwehangala hadi hapo suluhu
ya mgogoro baina ya viongozi wa halmashauri hiyo
itakapopatikana. 











Mwenyekiti wa Kikao
hicho ambaye ni
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto January Lugangika (Pichani Juu) alisema kuwa
maamuzi hayo
yamefikiwa baada ya kuwepo sintofahamu kati ya Madiwani wa halmashauri hiyo na
viongozi wengine juu ya suala hilo. .











Hivi karibuni
kumekuwepo na mvutano
mkubwa kati ya viongozi hao juu ya wapi pajengwe majango ya makao makuu ya
Halmashauri hiyo. 











Baadhi ya viongozi
wanadai
utaratibu wa fedha za manunuzi haukufuatwa katika kufikia maamuzi ya
kujenga jengo la Halmashauri katika eneo la Kwehangala na kuacha majengo
yaliyokwisha jengwa Bumbuli kwa gharama ya Sh. milioni
700.











Kutokana na
mvutano huo, Mkuu
huyo wa Wilaya amesema kikao kiliafiki kisitishe zoezi hilo mpaka
maelewano yatakapopatikana.











" Wajumbe wameshauri
suala
la kuhamisha makao makuu lisitishwe hadi hapo utakapopatikana
utangamano,kwani tayari imeonekana kuna mgogoro ambao umeleta utengano kwa
viongozi" Alisema Lugangika .











Mbunge wa jimbo hilo,
January
Makamba alikiri kuwepo kwa mvutano huo ambao alisema hauna tija katika
kuwaletea maendeleo wananchi wa Bumbuli.











Makamba alisema ni
vyema kama
viongozi wakazungumzia suala la maendeleo mfano;maji,barabara,umeme,nyumba za
watumishi badala ya kila siku kuzungumzia wapi kujengwe jengo la
halmashauri. 











Alishauri kuwa
wananchi
washirikishwe katika suala hilo, ikiwa ni pamoja na kuwapa elimu ya kutosha juu
ya hoja ya kuhamisha halmashauri kwa kuwa ndio wenye chombo chao badala ya
viongozi kuamua wao pekee.
















"Suala hilo
nakubaliana na
maoni wa kikao cha DCC tulisitishe kwani kwa sasa hatuna shida na majengo ya
halmashauri kwa sababu majengo tunayo ambayo hatulipii kodi ya pango. Sasa hivi
tuzungumzie maendeleo kwani wananchi mwaka 2020 hawatatudai majengo ya
halmashauri bali watatudai maendeleo juu ya huduma muhimu za jamii alisema
Makamba.
















Hivi karibuni baadhi
ya Madiwani wa
Halmashauri hiyo walipiga kura ya kupitisha azimio la kujenga jengo hilo
la halmashauri huku Madiwani nane wakigoma kupiga kura kwa madai
kuwa hawawezi
kupiga kura wakati kuna ukiukwaji wa kanuni na utaratibu ktk kitengo cha
manunuzi.
















Madiwani hao nane
ambao waligoma
kupiga kura kupitisha azimio hilo mnamo January 18 mwaka huu walimuomba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi kuingilia kati mgogoro na kuzuia
walichokiita ukiukwaji wa utaratibu wa manunuzi pamoja na maelekezo
mbalimbali ya viongozi juu ya mpango huo.
















Pia walimuomba
aingilie kati na
kuchukua hatua dhidi ya ubadhirifu wa fedha za umma na ukiukwaji wa
utaratibu wa uendeshaji wa halmashauri na kudharau kwa makusudi maelekezo
yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa serikali kuu.
















Mwenyekiti wa
Halmashauri hiyo Amir
Shehiza alisema kuwa baraza ni chombo chenye maamuzi sahihi 
hivyo alikitaka Kikao hicho cha DCC kuacha kuingilia Kazi za baraza
.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 21, 2018
MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 21, 2018
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9tpNjfNZUqNWSAkCdDxXs4dFjh8qBg2AdIbTQBJK_sw4pyLXvW3jK_6bUIHtkfAUL6qL0q4aLSFucxLEKc1puYhvgr2VoEzpnyXTejjXlQwqqx459EnRL0a_q8wzroIY4ftPhhJ8DNYSG/s1600/FullSizeRender.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9tpNjfNZUqNWSAkCdDxXs4dFjh8qBg2AdIbTQBJK_sw4pyLXvW3jK_6bUIHtkfAUL6qL0q4aLSFucxLEKc1puYhvgr2VoEzpnyXTejjXlQwqqx459EnRL0a_q8wzroIY4ftPhhJ8DNYSG/s72-c/FullSizeRender.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/magazeti-ya-leo-jumatano-februari-21.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/magazeti-ya-leo-jumatano-februari-21.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy