KASESELA, ASIA JUMA WATINGA KARIAKOO DAR ES SALAAM, LEO, KUPATA UZOEFU WA NAMNA BORA YA KUSIMAMIA VEMA MACHINGA
HomeJamii

KASESELA, ASIA JUMA WATINGA KARIAKOO DAR ES SALAAM, LEO, KUPATA UZOEFU WA NAMNA BORA YA KUSIMAMIA VEMA MACHINGA

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akisalimia wananchi baada ya kutambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (wa tatu k...

BOHARI YA DAWA (MSD) YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA KATI 2017-2020
MHESHIMWA MAJALIWA AWASILI DODOMA
WANAFUNZI 2,679 WAPATA MIKOPO ELIMU YA JUU KUPITIA RUFAA

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akisalimia wananchi baada ya kutambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (wa tatu kushoto) alipowapeleka Kasesera na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Asia Juma Abdallah katika eneo la biashara za Machinga katika Mtaa wa Kongo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kupata uzoefu wa namna Wilaya ya Ilala ilivyofanikiwa katika kuboresha mazingira na kuwaweka pamoja machinga hao katika shughuli zao. Wapili kushoto ni Katibu Tawala wa Ilala Edward Mpogolo.

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Asia Juma Abdallah kwa Machinga wakati wa ziara hiyo

 Baadhi ya kinamama wakimweleza kero Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema alipokuwa na ugeni huo

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera akiwa katika Mtaa wa Kongo kujionea shughuli mbalimbali zinavyoendesha na Machinga wa Kariakoo

 Msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ukipita katika mitaa mbalimbali ya Kariakoo kujionea shughuli mbalimbali zinavyoendesha na Machinga

Kasesela akiwa na Mwenyekiti wa Machinga wa kariakoo katika ziara hiyo.

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitazama bidhaa za machinga ambazo alisema hadhi ya bidhaa hizo inaonekana ni zaidi na za machinga.

Kasesela akitazama sampuli ya baadhi ya vifaa vya jikoni vinavyofanya kazi ambavyo anauza Machinga.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Richard Kasesela akihoji mfumo kwenye kompyuta alipoingia katika Ofisi ya Umoja wa Machinga kujua wanavyofanya kazi.

 Machinga ambaye ni mtaalamu wa programu za kompyuta namoyo Yusuf, akimpa maelezo Kasesera ya namna ambavyo Umoja wa Machinga unavyohifadhi kumbukumbu zote za machinga katika komyupta. Kulia ni Mbunge wa Kilolo Asia Juma akifuatilia kwa karibu

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Asia Juma akimweleza jambo Ofisa katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya walipokuwa kwenye ofisi hiyo ya Machinga Kariakoo.

Kasesela na ujumbe wake wakitoka katika Ofisi ya Machinga

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela na Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Juma wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Machinga wakati wa ziara hiyo.

 Kasesela akimfurahia Ustadhi ambaye ni mmoja wa machinga Kariakoo

 Kasesela akifurahia jezi la Timu ya Machinga baada ya kuzawadiwa katika ziara hiyo 

 Kasesela na Amina wakichagua nguo kwenye vitalu vya biashara za Machinga wakati wa ziara hiyo

 Kasesela akilipa fedha baada ya kuchagua nguo alizopenda

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akiagana na Mwenyekiti wa Machinga Stephen Lusinde mwishoni mwa ziara hiyo 

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akifanya majumuisho na ujumbe wake bada ya kurudi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala.

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akifanya utambulisho na kutoa maelezo machache kabla ya kuanza ziara hiyo

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza ofisini kwake na ujumbe huo kabla ya ziara hiyo kuanza.

 Kasesela akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala kabla ya ziara kuanza

Kasesela na ujumbe wake wakijiandaa kuondoka ofisi kwa Mkuu wa wilaya kuanza ziara hiyo. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KASESELA, ASIA JUMA WATINGA KARIAKOO DAR ES SALAAM, LEO, KUPATA UZOEFU WA NAMNA BORA YA KUSIMAMIA VEMA MACHINGA
KASESELA, ASIA JUMA WATINGA KARIAKOO DAR ES SALAAM, LEO, KUPATA UZOEFU WA NAMNA BORA YA KUSIMAMIA VEMA MACHINGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_D1b-i5v3VvU6GXWxYAEga5xiSQ8dP_MGuV0BnsUiOvj3q42rrBD-26dZWXet9C24CvWdx10fmwoOx0YWgFenhm0SVbGCTvaV6mdQLi7CrJJ7FOglQ3D6uklb7KYHQYCu_-TVnU7ep03B/s640/BN645738.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_D1b-i5v3VvU6GXWxYAEga5xiSQ8dP_MGuV0BnsUiOvj3q42rrBD-26dZWXet9C24CvWdx10fmwoOx0YWgFenhm0SVbGCTvaV6mdQLi7CrJJ7FOglQ3D6uklb7KYHQYCu_-TVnU7ep03B/s72-c/BN645738.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/kasesela-asia-juma-watinga-kariakoo-dar.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/kasesela-asia-juma-watinga-kariakoo-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy