DKT MWANJELWA AWASHUKURU EU KWA MSAADA WA MIRADI YA MPUNGA
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ‘SAGCOT Initiative’ uliofanyika kwenye ofisi za Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) jijini Dar es Salaam leo Februari 14, 2018. Jumuiya hiyo imetoa msaada wa Bilioni 12.5 kwa ajili ya kuwezesha miradi ya uzalishaji wa mpunga nchini Tanzania. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

HomeJamii

DKT MWANJELWA AWASHUKURU EU KWA MSAADA WA MIRADI YA MPUNGA

NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ‘SAGCOT Initiative’ uliofanyika kwenye ofisi za ...

RAIS MTEULE WA ROTARY INTERNATIONAL AWASILI NCHINI TANZANIA
SERIKALI YAIPONGEZA HOSPITALI YA HUBERT KAIRUKI KWA UJENZI WA JENGO LA KISASA KUSAIDIA WAJAWAZITO
MFUKO WA UDHAMINI WA MIKOPO BOT WAONYESHA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA KUKUZA BIASHARA NA UCHUMI













NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akipongezana na Balozi Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Roeland van de Geer baada ya kutoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa ‘SAGCOT Initiative’ uliofanyika kwenye ofisi za Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) jijini Dar es Salaam leo Februari 14, 2018. Pamoja nao ni Balozi Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Roeland van de Geer, Mkurugenzi wa Programu Taasisi ya Aga Khan Tanzania, Rew-Revealed Kataru (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Helvetas Swiss, Shiva Prasad Arya. 

Sehemu ya wadau na  waandishi wa habari wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo. 


Balozi Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Roeland van de Geer akitoa ufafanuzi na hotuba yake kwa wageni na wadau walioshiriki hafla ya uzinduzi huo.



NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa, Mwakilishi mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Fred Kafeero (kushoto) na Balozi Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Roeland van de Geer, wakifurahi jambo wakati wa hafla hiyo.

Mwakilishi mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Fred Kafeero akizungumza na washiriki wa hafla ya uzinduzi huo.

Sehemu ya wadau na  waandishi wa habari wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo. 


Mkuu wa Kitengo cha Maliasili wa Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jenny Correia Nunes akijibu sehemu ya maswali yalioulizwa na wana habari wakati wa hafla hiyo.


NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akipongezana na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Fred Kafeero baada ya Mwakilishi huyo kuzungumza na washiriki wa hafla ya uzinduzi huo. Pamoja nao ni Balozi Jumuiya ya Ulaya Tanzania (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Roeland van de Geer, Mkurugenzi wa Programu Taasis ya Aga Khan Tanzania, Rew-Revealed Kataru (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Helvetas Swiss, Shiva Prasad Arya.












Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT MWANJELWA AWASHUKURU EU KWA MSAADA WA MIRADI YA MPUNGA
DKT MWANJELWA AWASHUKURU EU KWA MSAADA WA MIRADI YA MPUNGA
https://i.ytimg.com/vi/8xlAyaSETZA/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/8xlAyaSETZA/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/dkt-mwanjelwa-awashukuru-eu-kwa-msaada.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/dkt-mwanjelwa-awashukuru-eu-kwa-msaada.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy