CHINA KUJENGA CHUO KIKUU CHA USAFIRISHAJI KWA SHILINGI BILIONI 138.3, TTCL WAKUTANA NA RAIS MAGUFULI
HomeJamii

CHINA KUJENGA CHUO KIKUU CHA USAFIRISHAJI KWA SHILINGI BILIONI 138.3, TTCL WAKUTANA NA RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika I...

DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CUBA NA OMAN
WAZIRI MAHIGA APOKEA DOLA ELF 50,000 KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA KAGERA
TAARIFA YA KUPOTEA KWA MTOTO DAMIAN JAMES WA KATORO MKOANI GEITA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke  aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu  mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Waziri Kindamba aliyefika Ikulu pamoja na Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwa ajili ya mazungumzo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Waziri Kindamba Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari kuhusiana na Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Waziri Kindamba 



 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu akizungumza kuhusu Shirika hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha  na  Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania TTCL-Corporation Omary Nundu (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Waziri Kindamba Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHINA KUJENGA CHUO KIKUU CHA USAFIRISHAJI KWA SHILINGI BILIONI 138.3, TTCL WAKUTANA NA RAIS MAGUFULI
CHINA KUJENGA CHUO KIKUU CHA USAFIRISHAJI KWA SHILINGI BILIONI 138.3, TTCL WAKUTANA NA RAIS MAGUFULI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgU6pXXneqeEf7hcI76yamo5T5aDyoDajkqekKp1XwOdLM2s42z2rU6TkjPtmU-gmQzM1LFezj3vBa3SE-3b-I2fBK1d9Rx8tdTcKXaUvpWuKKpzFzR2wrvFrYGxAkaO9Dh7mMSRF3mGqz8/s640/1-47-768x636.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgU6pXXneqeEf7hcI76yamo5T5aDyoDajkqekKp1XwOdLM2s42z2rU6TkjPtmU-gmQzM1LFezj3vBa3SE-3b-I2fBK1d9Rx8tdTcKXaUvpWuKKpzFzR2wrvFrYGxAkaO9Dh7mMSRF3mGqz8/s72-c/1-47-768x636.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/china-kujenga-chuo-kikuu-cha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/china-kujenga-chuo-kikuu-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy