Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo w...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed
Bin Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha.
(PICHA NA IKULUYA ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake
Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini
Unguja kujitambulisha leo Desemba 27, 2016
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo
wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake
Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, baada ya mazungumzo yao
alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Cuba katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez alipofika
Ikulu Mjini Unguja leo Desemba 27, 2016 kumuaga, baada ya kumaliza muda wake wa
kazi hapa nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Cuba katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez alipofika
Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais kwa kumaliza muda wake wa kazi
hapa Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi
wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez
baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Unguja kumuaga Rais
baada ya kumaliza muda wake wa kazi
COMMENTS