TANZIA : Mtangazaji wa kipindi cha “Bolingo Time” kinachopeperushwa na Radio Free Africa jijini Mwanza, Bw. Zuberi Msabaha(...
TANZIA: Mtangazaji wa kipindi cha “Bolingo Time” kinachopeperushwa na Radio Free Africa jijini Mwanza, Bw. Zuberi Msabaha(pichani) amefariki duni usiku wa Januari 9, 2018
Taarifa iliyotolewa na Mmoja wa viongozi wa Sahara Media Group, inayomiliki Radio hiyo Bw. Samwel Nyalla kwenye ukurasa wake wa Tweeter leo imesema. Tarifa ya Bw. Nyalla imesema msiba uko Mabatini jijini Mwanza.
COMMENTS