TANESCO YATOA SIKU NNE (4) KWA WADAIWA SUGU WA BILI ZA UMEME WAWE WAMELIPA, VINGINEVYO HUDUMA ZINASITISHWA

  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari 1...






 Shirika
la Umeme Tanzania (TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa
muda wa siku nne (4) kuanzia Januari 12, 2018 hadi siku ya Jumatatu Januari 15,
2018 kwa wadaiwa sugu wawe wamelipa madeni yao.




Baada
ya muda huo kuisha Shirika litasitisha Huduma ya umeme dhidi ya Wateja
watakaoshindwa kulipa madeni ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua zingine za
kisheria.


Ofisi
za TANESCO zitakuwa wazi siku ya Jumamosi Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 9:00
Mchana.


mawasiliano


Kituo
cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985
100


Tovuti: www.tanesco.co.tz,
mitandao ya kijamii:


Mitandao
ya kijamii


Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,


Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/


IMETOLEWA
NA: OFISI YA UHUSIANO


TANESCO
MAKAO MAKUU


JANUARI
11, 2018

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANESCO YATOA SIKU NNE (4) KWA WADAIWA SUGU WA BILI ZA UMEME WAWE WAMELIPA, VINGINEVYO HUDUMA ZINASITISHWA
TANESCO YATOA SIKU NNE (4) KWA WADAIWA SUGU WA BILI ZA UMEME WAWE WAMELIPA, VINGINEVYO HUDUMA ZINASITISHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho5OCF015cxP6OuFJuT1vfzkB5eu_OBiVa6GHABnXMsEh_D1QWQiwTzseEA_QrM97gjEvWtGDaLjHNYkm7indETg4gUMIBaAcjYaLsxNdwaSYN01ozwAw6wnXUDbVMgJydQzIYWufcijqP/s320/logo-tanesco.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho5OCF015cxP6OuFJuT1vfzkB5eu_OBiVa6GHABnXMsEh_D1QWQiwTzseEA_QrM97gjEvWtGDaLjHNYkm7indETg4gUMIBaAcjYaLsxNdwaSYN01ozwAw6wnXUDbVMgJydQzIYWufcijqP/s72-c/logo-tanesco.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/tanesco-yatoa-siku-nne-4-kwa-wadaiwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/tanesco-yatoa-siku-nne-4-kwa-wadaiwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy