RAIS DKT. SHEIN, AKUTANA NA SHEIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI, SUPREME COUNCIL MEMBER AND RULER OF RAS AL KHAIMAH
HomeJamii

RAIS DKT. SHEIN, AKUTANA NA SHEIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI, SUPREME COUNCIL MEMBER AND RULER OF RAS AL KHAIMAH

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, ...

WATANZANIA KUNUFAIKA NA UMEME WA JUA NA MAJIKO BUNIFU YA SUN KING
MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI, DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA MIRADI YA TANESCO KINYEREZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, "Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaimah", akisalimiana na Viongozi wa wa Juu wa Ras Al Khaimah alipowasili katika makazi ya Sheikh Saud kwa mazungumzo katika ziara yake kutembelea Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Asaq Al Qasimi, "Supreme Council and Ruler of Ras Al Khaimah "wakielekea katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili katika makaazi ya Sheikh Saud kwa mazungumzo, Nchini Ras Al Khaimah. 
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na mazungumzo na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Council Member and
Ruler of Ras Al Khaimah, katika   makaazi
yake Nchini Ras Al Khaimah wakati wa ziara yake ya wiki moja ya kiserikali kutembela
Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)
VIONGOZI
wa Juu wa Nchi ya Ras Al Khaimah wakihudhuria katika ukumbi wa mkutano kati ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na
Sheikh Saud Bin Saqr Ak Qasimi  alipofika
katika makaazi ya Mfame kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake Nchini Ras Al
Khaimah.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na mazungumzo na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Council Member and
Ruler of Ras Al Khaimah, katika   makaazi
yake Nchini Ras Al Khaimah wakati wa ziara yake ya wiki moja ya kiserikali kutembela
Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)
UJUMBE
wa Mawaziri walioongozana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, katika ziara yake kutembelea Nchi za Falme za Kiarabu
UAE wakifuatilia hafla hiyo katika ukumbi wa mkutano na Mfalme Sheikh Saud Bin
Saqr Al Qasimi, Supreme Council Member and Ruler of Ras Al Khaimah.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo baada ya mazungumzo yake na Sheikh Saud Bin Saqr Al
Qasimi, wakiwa katika makaazi ya Mfalme Ras Al Khaimah

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,wakizungumza na Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasimi baada ya mazungumzo yao
kushoto Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya RAKGAS L.L.C,  Joseph Haskell na wa mwisho Balozi Mdogo wa
Tanzania Nchini Dubai Ali Jabir Mwadin
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akiongozana na mwenyeji wake,Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasimi, Supreme Member
and Ruler of Ras Al Khaiman akiwaaga Viongozi wa Juu wa Serikali ya Ras Al
Khaimah baada ya mazungumzo yake na Sheikh Saud yaliofanyika katika makaazi ya
Mfalme Nchini Ras Al Khaimah
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana
na mwenyeji wake Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi Supreme Council Member and
Ruler of Ras Al Khaiman, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi ya
Sheikh Ras Al Khaimah.

Sheikh Ras Al Khaimah

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. SHEIN, AKUTANA NA SHEIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI, SUPREME COUNCIL MEMBER AND RULER OF RAS AL KHAIMAH
RAIS DKT. SHEIN, AKUTANA NA SHEIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI, SUPREME COUNCIL MEMBER AND RULER OF RAS AL KHAIMAH
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmJ1lPooP7t3C4vG6wZ6tH_R2-tMHJHgiLvGFaHQeAytXqP-gCDH-5nJxWB5km-3SDpaTUgmoK0h1zK6VR5QkfF1vljtTYTb3aH9y_aTKNMQLIMQNfYeKG7d73gr4U4Gt10F8GciYReU12/s640/DSC_8549.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmJ1lPooP7t3C4vG6wZ6tH_R2-tMHJHgiLvGFaHQeAytXqP-gCDH-5nJxWB5km-3SDpaTUgmoK0h1zK6VR5QkfF1vljtTYTb3aH9y_aTKNMQLIMQNfYeKG7d73gr4U4Gt10F8GciYReU12/s72-c/DSC_8549.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-shein-akutana-na-sheikh-saud.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-shein-akutana-na-sheikh-saud.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy