MKAZI MWINGINE WA TEMEKE MIKOROSHINI AIBUKA NA KITITA CHA MILIONI 50 ZA TATUMZUKA.

  Katibu Tawala wilaya ya Temeke, Ndugu Hashim Komba akikabdhi  mfano wa hundi kwa mshindi wa mchezo wa  bahati nasibu wa Tatumzuka  En...


  Katibu Tawala wilaya ya Temeke, Ndugu Hashim Komba akikabdhi  mfano wa hundi kwa mshindi wa mchezo wa  bahati nasibu wa Tatumzuka  Enirisha Kilango mapema leo kwenye ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Enirisha Kilango ambaye ni Mkazi wa Temeke Mikoroshini anaejishughulisha na biashara zake ndogo ndogo alijishindia milioni 50 mwishoni mwa wiki.

Enirisha Kilango ambaye ni Mkazi wa Temeke Mikoroshini anaejishughulisha na biashara zake ndogo ndogo akizungumza mapema leo mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) ndani ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke,kufuatia ushindi wake wa kujinyakulia milioni 50 mwishoni mwa wiki katika mchezo huo wa kubahatisha.
 Katibu
Tawala wilaya ya Temeke, Ndugu Hashim Komba akizungumza kwa niaba ya
Mkuu wa wilaya ya Temeke, mbele ya Waandishi wa habari  (hawapo pichani)
mapema leo,kabla ya kukabidhi mfano wa hundi kwa mshindi wa mchezo wa
bahati nasibu wa Tatumzuka kwa mshinidi aliyejinyakulia Enirisha Kilango
aliyejishindia milioni 50 mwishoni mwa wiki .

Ndugu
Komba amewashukuru Tatumzuka kwa kuendelea kuwawezesha wananchi wa
wilaya hiyo ya Temeke kupitia mchezo huo wa bahati nasibu,kwa kumpata
mshindi mwingine ndani ya wilaya hiyo kwa mara nyingine tena,Komba
amewasisitizia wananchi wake kuendelea kucheza zaidi na zaidi kwani
mchezo ambao upo kisheria na hauna makando kando yoyote,ukishinda
umeshinda kweli na fedha zako unakabidhiwa
.

Mh
Komba aliongeza kuwa kama Tatumzuka itawapatia shilingi Milioni Tano
ambayo  imepatikana mara baada ya mshindi huyo kupatikana,basi
watazitumia fedha hizo kuimarisha suala la ulinzi na usalama, tutakwenda
kujenga kituo cha polisi na kuzitumia fedha hizo kununua mabati ili
kukamilisha ujenzi wa vituo hivyo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKAZI MWINGINE WA TEMEKE MIKOROSHINI AIBUKA NA KITITA CHA MILIONI 50 ZA TATUMZUKA.
MKAZI MWINGINE WA TEMEKE MIKOROSHINI AIBUKA NA KITITA CHA MILIONI 50 ZA TATUMZUKA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLcO4SUNc4HureMzVqa46GEMZmCzTxYC9v02RlGsgm7qe9T9WLWJFOFz1EAQvqxV6yF41bCD51GcvqJGB8Kex-uzY5YoJnP98PJDMCILb8GdoP95NupgHW7jRf4YGPItW2xDRskE__vI_P/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLcO4SUNc4HureMzVqa46GEMZmCzTxYC9v02RlGsgm7qe9T9WLWJFOFz1EAQvqxV6yF41bCD51GcvqJGB8Kex-uzY5YoJnP98PJDMCILb8GdoP95NupgHW7jRf4YGPItW2xDRskE__vI_P/s72-c/2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mkazi-mwingine-wa-temeke-mikoroshini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mkazi-mwingine-wa-temeke-mikoroshini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy