MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA WAZIRI KANGI LUGOLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na familia na jamaa wa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola alipofika kutoa pole katika msiba wa mke wa Kangi Lugola, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mary Lugola aliyefariki tarehe 01, Januari, 2018 katika hospitali ya Rabininsia jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


HomeJamii

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA WAZIRI KANGI LUGOLA

​Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 3, Januari, 2018 amehani msiba wa Kamishna ...

MHE MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA TAASISI YA UTAFITI (TPRI) MJINI ARUSHA KUWA WAZALENDO NA KUFANYA KAZI KWA WELEDI
VIJANA WAKUMBUSHWA WAJIBU WA KUTAMBUA NAFASI ZA UONGOZI KATIKA JAMII
UMOJA WA MATAIFA WAZINDUA OFISI KATIKA MAKAO MAKUU YA NCHI, DODOMA




​Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 3, Januari, 2018 amehani msiba wa Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola ambaye ni Mke wa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola alipofika kutoa pole ya msiba wa mke wa Kangi Lugola, Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyefariki siku ya tarehe 01, Januari, 2018 katika hospitali ya Rabininsia jijini Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa mke wa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Kangi Lugola, Kamishna Msaidizi wa Polisi marehemu Mary Lugola aliyefariki siku ya tarehe 01, Januari, 2018 katika hospitali ya Rabininsia jijini Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Kangi Lugola wakati alipoenda kutoa pole ya msiba wa mke wake Kamishna Msaidizi wa Polisi marehemu Mary Lugola aliyefariki siku ya tarehe 01, Januari, 2018 katika hospitali ya Rabininsia jijini Dar es Salaam.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa pole watoto wa  marehemu Mary Lugola , mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola aliyefariki siku ya tarehe 01, Januari, 2018 katika hospitali ya Rabininsia jijini Dar es Salaam.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA WAZIRI KANGI LUGOLA
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA WAZIRI KANGI LUGOLA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhGSN-sX1iAHWQGSQvaL0A17HWp38DQdnasTP8iAhVI6GTafGNmbDU86l1dlx8CW9TIHlZr0jk5o5Ba_9DWagXIadsb98wDvcIfEFw9F4743-bSTRf8tSjNuyJetaF102lVgHUKzytxBI/s640/16.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhGSN-sX1iAHWQGSQvaL0A17HWp38DQdnasTP8iAhVI6GTafGNmbDU86l1dlx8CW9TIHlZr0jk5o5Ba_9DWagXIadsb98wDvcIfEFw9F4743-bSTRf8tSjNuyJetaF102lVgHUKzytxBI/s72-c/16.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-ahudhuria-msiba-wa-mke.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-ahudhuria-msiba-wa-mke.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy