Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na makamu wa Rais wa Be...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumzo na makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dkt.
Frannie Leutier na mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)
Dkt. Tonia Kandiero (kushoto), Ikulu ndogo Chamwino Mkoani Dodoma
Julai 26,2016. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedhana Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
COMMENTS