KAIMU MKURUGENZI MKUU TAA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye kushoto akimkaribisha Kaimu Mkuu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela kulia alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 23/01/2018.

HomeJamii

KAIMU MKURUGENZI MKUU TAA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye kushoto akimkaribisha Kaimu Mkuu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viw...

HOSPITALI YA KAIRUKI YAZINDUA KITENDO CHA KUCHUJA DAMU KWA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO
MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO SEPTEMA 7 2017
NAIBU WAZIRI HABARI AKUTANA NA MSHINDI WA MISS GARDEN ROUTE 2017 MJINI DODOMA



Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam, wakati alipofanya ziara yake mapema leo tarehe 23/01/2018.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (aliyeketi mbele) pamoja na Viongozi Waandamizi wa Jeshi hilo wakimfuatilia kwa karibu, Kaimu Mkurugenzi MKuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela, wakati wa mazungumzo yao alipotembelea  Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 23/01/2018.


Picha ya Pamoja, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi Waandamizi wa Jeshi pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela (wa tatu kulia), mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Jijini Dar es Salaam mapema leo tarehe 23/01/2018. Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAIMU MKURUGENZI MKUU TAA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
KAIMU MKURUGENZI MKUU TAA ATEMBELEA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkwlmS_Ak-tA9op72PKBLEUTeYXgMKTYAVxeAtdWGxWUxa_Mrz-DPMBS57P4V7EL7OI7GF-GMb0O76S0zhr8AByi4RFwPioGRoIOAzNSfbeBzIin4jLkAcpmw6aTwLF8NAiwwDSj7p98c/s640/PIX+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkwlmS_Ak-tA9op72PKBLEUTeYXgMKTYAVxeAtdWGxWUxa_Mrz-DPMBS57P4V7EL7OI7GF-GMb0O76S0zhr8AByi4RFwPioGRoIOAzNSfbeBzIin4jLkAcpmw6aTwLF8NAiwwDSj7p98c/s72-c/PIX+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/kaimu-mkurugenzi-mkuu-taa-atembelea.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/kaimu-mkurugenzi-mkuu-taa-atembelea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy