YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA
HomeJamii

YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo...

RAIS MAGUFULI ASEMA BARRICK SASA NI WASHIRIKA WETU
NAIBU WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS KANGI LUGOLA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS
KATIBU WA BUNGE, KIGAIGAI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE KATIKA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA BUNGE MJINI DODOMA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo rasmi na Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming jijini Beijing. 
Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming akisisitiza jambo alipokuwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt.Augustine Mahiga leo jijini Beijing. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa na ujumbe wake aliongozana nao katika ziara ya kikazi nchini China. Kutoka kushoto ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini China, Kanali Remigius Ng'umbi anayefuata ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Thomas Kashililah na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki.
Wajumbe wa pande mbili za China na Tanzania wakiwa katika mazungumzo. 
Wajumbe wengine wa Tanzania wakifuatilia mazungumzo. Kutoka kulia ni Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Malmeltha Mutagwaba, Naibu Katibu Mkuu wa Biashara na Uwekezaji kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango kutoka Serikali ya Zanzibar, Bw. Khamis Omar.
Balozi Mahiga akitoa zawadi ya picha kwa Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming. 

Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mipango ya China 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mipngo ya China, Bw. Ning Jizhe alipowasili ofisini kwake kwa ajili ya kufanya mazungumzo. 
Ujumbe wa Tanzania na China wakijadiliana namna nchi zao zitakavyoweza kushirikiano katika masuala ya uchumi, uwekezaji n biashara. 
Bw. Jing Jizhe akionesha utayari wa nchi yake wa kushirikiana na Tanzania katika masuala ya maendeleo ya kiuchumi. 

Mazungumzo na wafanyakazi wa Ubalozi
Balozi Mahiga na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini China. 
Balozi Mahiga akiwa na katika mazungumzo na mmoja wa wawekezaji aliyedhmiria kuwekeza Tanzania. 
Mwekezaji mwingine akisalimiana na Balozi Mahiga kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao. 
Waziri Mahiga akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt, Lu Youqing.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA
YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3kgYp5TuE7Jg547OVL4Pr6qUlPfgkI8-f9wDBZEo_Hgtx2Dra7b-0QcoB-9B2kCwDL9uozcsQ0cZGrr3b8IDurvp6eTAVu8Bj6izXR8Xbq1zjzyqpCEXlPbAD4q8qYAz-NdR7RQDa2bRx/s640/DSCN8162.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3kgYp5TuE7Jg547OVL4Pr6qUlPfgkI8-f9wDBZEo_Hgtx2Dra7b-0QcoB-9B2kCwDL9uozcsQ0cZGrr3b8IDurvp6eTAVu8Bj6izXR8Xbq1zjzyqpCEXlPbAD4q8qYAz-NdR7RQDa2bRx/s72-c/DSCN8162.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/yanayojiri-katika-ziara-ya-kikazi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/yanayojiri-katika-ziara-ya-kikazi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy