WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
HomeJamii

WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyo...

VYAKULA VITANO MUHIMU KWA UKUAJI WA AKILI YA MTOTO
MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR
TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akijadiliana jambo na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando M
chechu baada ya kuzindua Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliopo kwenye makao makuu ya NHC, Dar es Salaam.

Mnara wa Mwalimu Nyerere uliozinduliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi leo mchana.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia kwa kina uzinduzi wa jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Ali Laay, huku Mshereheshaji wa shughuli hiyo, Ephraim Kibonde akiwasikiliza. Walifanya hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.

Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akijianda kufungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikagua ndani ya jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikagua ndani ya jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC kulia kwake ni Almasi Kasongo wa NHC.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mussa Efata wa NHC wakati akikagua jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akimpongeza Mzee Galus Abeid wakati wa uzinduzi wa jengo hilo

Mkurugenzi wa Usimamizi Milki wa NHC, Hamad Abdallah akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.

Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifurahi jambo baada ya kuzindua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linavyoonekana sasa. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj87TAH6PYq9_j3Z_YieNqgtCkKcmZs7o9oZUtbd8nEWziW89lFYZZAkwgeb2MIYqPoSnYcl8RPFLvEt-S9YTEMMorSG_pIYQP_-Y88QGCil590_Xjd7yf57DmHxYDBtdp3MxGDXrCtduU/s640/IMG_7541.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj87TAH6PYq9_j3Z_YieNqgtCkKcmZs7o9oZUtbd8nEWziW89lFYZZAkwgeb2MIYqPoSnYcl8RPFLvEt-S9YTEMMorSG_pIYQP_-Y88QGCil590_Xjd7yf57DmHxYDBtdp3MxGDXrCtduU/s72-c/IMG_7541.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-lukuvi-azindua-mnara-wa-mwalimu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-lukuvi-azindua-mnara-wa-mwalimu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy