UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
HomeJamii

UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Uta...

UONGOZI WA SHULE ZA FEZA WAKABIDHI VYETI KWA WASHINDI WA GENIUS CUP FINAL 2017
KUMBUKIZI TUKIO LA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
CUTHBERT MIDALA AFUNGA NDOA NA CATHERINE, JIJINI DAR ES SALAAM



Mwanachama mpya wa CCM, na Mbunge wa zamani, David Kafulila akiongea kwenye kampeni hiyo.

Mwanachama mpya wa CCM, na Mbunge wa zamani Moses Machali akiongea kwenye kampeni hiyo.

Mwanachama mpya wa CCM, na Mbunge wa zamani Abdallah Mtolea akiongea kwenye kampeni hiyo.

Mwanachama mpya wa CCM, ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira akiongea kwenye kampeni hiyo.

Waziri wa Habari, Utamaduni. Sanaa na Michezo, Dkt Harisson Mwakyembe akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassimu Majaliwa akiongea wakati uzinduzi wa kampeni ya uzalendo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga, mkoani Dodoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga, mkoani Dodoma.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa. Kutokea (kulia) ni Mhe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe Dkt. Harisson Mwakyembe, 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha muonekano wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha muonekano wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma 





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXugoAZojcugb8Ek52cIX_q0lkQqK_J24CVhGgm-2lEErT7ZBKVuWaMb-LcvKuHUmbY2gi5V8yOrSbeD2En3wJXVKoppGSq0_gvDHGf0yBu7tznE5dazaDKQAfA-4XKTWZvTOLENJKoEA/s640/27.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXugoAZojcugb8Ek52cIX_q0lkQqK_J24CVhGgm-2lEErT7ZBKVuWaMb-LcvKuHUmbY2gi5V8yOrSbeD2En3wJXVKoppGSq0_gvDHGf0yBu7tznE5dazaDKQAfA-4XKTWZvTOLENJKoEA/s72-c/27.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/uzinduzi-wa-kampeni-ya-uzalendo-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/uzinduzi-wa-kampeni-ya-uzalendo-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy