Bwana harusi, Juma katika pozi na mkwe Frola baada ya kufunga pingu za maisha na kufatiwa na tafrija katika ukumbi wa Makonde Kuringe...
Bwana harusi, Juma katika pozi na mkwe Frola baada ya kufunga pingu za maisha na kufatiwa na tafrija katika ukumbi wa Makonde Kuringe Hall, Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Bwana harusi Juma (kulia) akiwa katika pozi na mpambe wake Jacob
Biharusi Flora (kushoto) akipozi na mpambe wake Mariam kabla ya kuingia ukumbini
Bwana haruzi Juma katika pozi akifurahia jambo wakati wa hafla fupi ya kupongezwa na mkewake Flora katika Ukumbi wa Makonde Kuringe Hall, Dar es Salaam |
Bi harusi Mtarajiwa Flora akipambwa na mpambaji maarufu Sanura Beauty Artist |
Mpambe wa Bi harusi Mtarajiwa Mariam akipambwa na mpambaji maarufu Sanura Beauty Artist |
Bi harusi katika pozi
Bi harusi akiwa na mpambe wake katika pozi
Mnaniona katika pozi |
Bi harusi Flora akilidaka ua baada ya kulirush juu
Bi harusi katika pozi kabla ya kuingia ukumbini
Mc na mtaalamu wa mapambo na chalula akiweka mambo sawa kabla ya kuingia maharusi na wageni waalikwa
Asante mume kunipokea UA pokea na wewe
Mama wa biharusi mtarajiwa (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya wana familia kabla ya kuingia ukumbini
Wazazi wa Bwana harusi wakiingia ndani ya ukumbi kwa madaha wakiiongoza familia yao
Wazazi wa Bwana harusi wakiipokea familia ya Bi harusi wakati walipokuwa wakiingi ndani ya ukumbi wa Makonde Kuringe Hall, Dar es Salaam
Familia ya Biharusi ikiingia ukumbini
Bwana na Bi harusi wakiingi ndani ya ukumbi
Mwenyekiti wa nguvu wa Shughuli hiyo ya hafla fupi ya kuwapongeza maharusi, Monica Hillary Doe akizungumza jambo kwa waalikwa
Bwana harusi Juma na Mkewe Flora wakinyweshana Shampeni
Bwana harusi na Mkewe katikati wakigonganisha glas na wapambe
Bwana harusi na mkewe wakikata keki
Bwana harusi Juma akimlisha mkewake Flora kipande cha keki
Bi harusi Flora akiwakabidhi keki wazazi wa Bwana harusi
Bwana harusi Juma akiwakabidhi keki wazazi wa Bi harusi
Mama wa bwana harusi katika picha ya pamoja na marafiki zake
Wazzi wa Bwana harusi
Wazazi wa Biharusi
COMMENTS