RAIS DKT. MAGUFULI ATIA SAINI NYARAKA ZA MSAMAHA WA WAFUNGWA 63 AMBAPO 61 WALIKUWA WA KUNYONGWA NA MAJINA MAWILI (2) YA WAFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili(2) ya Familia ya Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.


HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI ATIA SAINI NYARAKA ZA MSAMAHA WA WAFUNGWA 63 AMBAPO 61 WALIKUWA WA KUNYONGWA NA MAJINA MAWILI (2) YA WAFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyong...

WALIOKOSA MIKOPO SASA HESLB RUKSA KUKATA RUFAA
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM LEO
OLOLOSOKWAN YAZINDUA UTABIBU KWA NJIA YA TEHAMA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya Familia ya Nguza Viking (Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza  Dkt. Juma Malewa akishuhudia.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiyahakiki kwa kuyasoma majina ya Wafungwa 63  waliopata msahama wa Rais kabla ya kutia saini Nyaraka hizo za Msamaha katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni Kamishna mkuu wa Magereza Dkt. Juma Malewa. 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhakiki nyaraka hizo za Msamaha wa Rais katika Ikulu ya Chamwino mkoni Dodoma.



Kamishna Jenerali wa Magereza  Dkt. Juma Malewa akizungumza kuhusu Msamaha wa Rais na namna ulivyopokelewa vizuri ndani nje ya  Magereza.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzia msamaha alioutoa jana kwa wafungwa waliokuwa wanatumikia vifungo mbalimbali magerezani. Kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Magereza  Dkt. Juma Malewa akisikiliza. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutia saini majina ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya  Wafungwa  Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela. (PICHA NA IKULU)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI ATIA SAINI NYARAKA ZA MSAMAHA WA WAFUNGWA 63 AMBAPO 61 WALIKUWA WA KUNYONGWA NA MAJINA MAWILI (2) YA WAFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA.
RAIS DKT. MAGUFULI ATIA SAINI NYARAKA ZA MSAMAHA WA WAFUNGWA 63 AMBAPO 61 WALIKUWA WA KUNYONGWA NA MAJINA MAWILI (2) YA WAFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSTHe_4j6BRxHc-49_1jAszRaQDmlVSFzPLEKixWtPRsf1ZOwALDdVZL-vzA1mzzlCd9Iau9rp5giiKgSE972YyyJERTRDfIJPPJf0cKfDyYqC8OelYZZvy3a8RksL0UgCnMH4ck9vq5w/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSTHe_4j6BRxHc-49_1jAszRaQDmlVSFzPLEKixWtPRsf1ZOwALDdVZL-vzA1mzzlCd9Iau9rp5giiKgSE972YyyJERTRDfIJPPJf0cKfDyYqC8OelYZZvy3a8RksL0UgCnMH4ck9vq5w/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-atia-saini-nyaraka-za.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-atia-saini-nyaraka-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy