RAIS DKT. MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE YA SH. MILIONI 60 KWA WAJUMBE WA CHAMA CHA WALIMU PAMOJA NA WANAFUNZI WA UDOM WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO CWT
Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE YA SH. MILIONI 60 KWA WAJUMBE WA CHAMA CHA WALIMU PAMOJA NA WANAFUNZI WA UDOM WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO CWT

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekel...

SHIRIKA LA WOTESAWA LAZINDUA MRADI WA “PAZA SAUTI YA MFANYAKAZI WA NYUMBANI” WILAYANI ILEMELA
SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI
KAMATI YA BUNGE YA MAADILI YAWAWEKA KITI MOTO WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

Katibu wa Rais Ngusa Samike akizungumza mara baada ya kukabidhi kiasi hicho cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya. Katika fedha hizo, kiasi cha Shilingi milioni 50 zitagawiwa kwa wajumbe wote wa CWT waliopo mkutanoni na kiasi cha Shilingi milioni 10 ni kwa ajili ya wanafunzi Tarajali wa UDOM waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo.

Fedha hizo kiasi cha Shilingi milioni 60 zilizo kabidhiwa kwa CWT ambazo Rais Dkt. John Pombe Magufuli alizichangisha kwa viongozi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano wa CWT siku ya jana. Katika fedha hizo Rais Dkt. Magufuli alitoa kiasi cha Tsh. Milioni 10 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa kiasi cha Sh. Milioni 10 pia na zilizobaki zilichangwa na viongozi wengine waliohudhuria mkutano huo. (PICHA NA IKULU)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE YA SH. MILIONI 60 KWA WAJUMBE WA CHAMA CHA WALIMU PAMOJA NA WANAFUNZI WA UDOM WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO CWT
RAIS DKT. MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE YA SH. MILIONI 60 KWA WAJUMBE WA CHAMA CHA WALIMU PAMOJA NA WANAFUNZI WA UDOM WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO CWT
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglDsUx-twWC60R3WX_-qhBwOz3VKZ4cHezSMbOBs5BVGwwG4QYw_K7y_f5vy-revYQFyD6ek5uQPxUKbI_iYUq8TPbIaMlF0N_LIat3nSgFWeTNa4Y9tsjo8CLfsKjcaqNLGEMA9D1n7g/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglDsUx-twWC60R3WX_-qhBwOz3VKZ4cHezSMbOBs5BVGwwG4QYw_K7y_f5vy-revYQFyD6ek5uQPxUKbI_iYUq8TPbIaMlF0N_LIat3nSgFWeTNa4Y9tsjo8CLfsKjcaqNLGEMA9D1n7g/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-atekeleza-ahadi-yake.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-atekeleza-ahadi-yake.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy