OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TANGAZO LINALOTANGAZA USHIRIKI WA MAKAMU WA RAIS KUPANDA MITI TAREHE 1 JAN.2018

TAARIFA KWA UMMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.    Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamh...


TAARIFA KWA UMMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan. 

 
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha tangazo linalosambaa katika Mitandao ya Kijamii linalomhusisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  kuwa atashiriki zoezi la kupanda miti kwenye Chuo Kikuu Cha Dodoma siku ya tarehe 1-1-2018. Ofisi ya Makamu wa Rais inapenda kuujulisha umma kuwa tangazo hilo si la kweli na Makamu wa Rais hana ratiba ya kupanda miti kwenye chuo hicho kwa tarehe iliyotajwa.

Ikumbukwe kuwa siku ya tarehe 15-12-2017 wakati wa hafla ya kuhamia Makao Makuu ya Nchi, Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitangaza kampeni ya kupanda miti Dodoma ambayo itaratibiwa na Ofisi yake .

Ofisi ya Makamu wa Rais inawataka Wananchi kuzingatia matangazo, taarifa na ratiba zitakazotolewa na Ofisi yake kuhusu programu ya upandaji miti Dodoma.

Imetolewa na:
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dodoma


30 Desemba, 2017.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TANGAZO LINALOTANGAZA USHIRIKI WA MAKAMU WA RAIS KUPANDA MITI TAREHE 1 JAN.2018
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TANGAZO LINALOTANGAZA USHIRIKI WA MAKAMU WA RAIS KUPANDA MITI TAREHE 1 JAN.2018
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAcBv5MDwLeSPp6_bAhDGNz7EOhLAPOCaUmoC9gEeZ7ULjcV247UtQutw1JRYl4V3PnZpZEgps53jJV6t25gBCngG-KkBVk_G31YmkAJfX6-VIr1Crzb5ihLk7utM2JwR0rn_ACar34aQ/s640/3-702x375.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAcBv5MDwLeSPp6_bAhDGNz7EOhLAPOCaUmoC9gEeZ7ULjcV247UtQutw1JRYl4V3PnZpZEgps53jJV6t25gBCngG-KkBVk_G31YmkAJfX6-VIr1Crzb5ihLk7utM2JwR0rn_ACar34aQ/s72-c/3-702x375.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/ofisi-ya-makamu-wa-rais-yakanusha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/ofisi-ya-makamu-wa-rais-yakanusha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy