KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC
HomeJamii

KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC

 Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (wakwanza kushoto) ameungana na mamia ya viongozi wa Serikali akiwemo Makamu wa Pili wa S...


 Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (wakwanza kushoto) ameungana na mamia ya viongozi wa
Serikali akiwemo Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir
Ali katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, ameungana nao kupokea na kuaga
miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha yao huko Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakilinda amani chini ya muavuli wa umoja wa
mataifa. Al- Najem amesema kuwa Serikali ya Kuwait inalaani vikali tukio
la kushambuliwa wanajeshi wa Tanzania na kupelekea wanajeshi 14
kufariki huku wengine 44 wakijeruhiwa. Ameongeza kuwa' tumefuatulia
tukio hili la kushambuliwa wanajeshi wa kulinda amani katika kambi yao
huko Kongo kwa huzuni kubwa, ambapo Serikali ya Kuwait inakemea
vikali mashambulizi yanayolenga vikosi vya kulinda amani au mashirika ya kibinadamu'. hayo ameyasema
wakati wa
ziara yake ya kikazi visiwani Zanzibar, Balozi Al-Najem amuomba Mwenyezi Mungu awarehemu wanajeshi waliouwa na kuwaponesha kwa haraka waliojeruhiwa

Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mhe. Balozi Seif Ali Iddi aongoza mamia kupokea na kuaga
miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha yao huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakilinda amani chini ya muavuli wa umoja wa  mataifa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar,
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC
KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDNDmUQZK82xv1-Cgt1oNtpV3C3fe5tkeW0mka1Q43jAbrpQVq5ZnwHMUT5-3CUeQNyQDgyr1cfLQZIPJSCRbAGBnbreezwP92mLfmf24ls0TTU3ZGzEj4HX56zTV4-geaSu9VqoT04-3p/s640/IMG-20171215-WA0044.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDNDmUQZK82xv1-Cgt1oNtpV3C3fe5tkeW0mka1Q43jAbrpQVq5ZnwHMUT5-3CUeQNyQDgyr1cfLQZIPJSCRbAGBnbreezwP92mLfmf24ls0TTU3ZGzEj4HX56zTV4-geaSu9VqoT04-3p/s72-c/IMG-20171215-WA0044.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kuwait-yalaani-mauaji-ya-wanajeshi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kuwait-yalaani-mauaji-ya-wanajeshi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy