KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA
HomeJamii

KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA

 Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa akipanga tofali kwenye msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msi...

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAWANOA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA TANZANIA
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA DAWASA/DAWASCO KWA KAZI NZURI YA KUSIMAMIA MIRADI YA MAJI
MAOMBI YA VIONGOZI WA DINI YALISAIDIA NCHI KUPATA RAIS MWENYE HOFU YA MUNGU

 Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias
Mwilapwa akipanga tofali kwenye msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya
madarasa katika shule ya msingi ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi
(Albino)  na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba
Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba
hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akijenga tofati katika vyumba vipya
vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya

ya wanafunzi wenye ulemavu wa
ngozi (Albino) na wasioona  ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya
Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba
hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka  tofati katika vyumba vipya
vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya

ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe
Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa

 Mkurugenzi
 Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja
ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe
Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akimuelekeza jambo mmoja wa wakandarasi
watakaojenga vyumba vitatu vya madarasa katika shule
y
a
wanafunzi wenye maahitaji maalumu ikiwemo wasiona na wenye ulemavu wa
ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo

 Mkurugenzi
 Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja
ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa akizungumza katika halfa hiyo iliyofanyika leo kwenye shule ya
Msingi Pongwe Jijini Tanga
Mkurugenzi
 Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart akizungumza na waandishi wa habari mara baada
ya uzinduzi huo leo
 Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya
Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa kuthamini juhudi
za kuinua elimu
 Diwani wa Kata ya
Pongwe(CCM),Mbaraka Sadi akizungumza katika uzinduzi huo
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Afisa Uhusiano wa
Simba Cement Noor Mtanga akizungumza katika uzinduzi huo leo
kwenye shule ya Msingi Pongwe
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi
 Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kushoto akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya
Msingi Pongwe Yahaya Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika
uzinduzi huo leo 
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart katikati akifuatilia uzinduzi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo uliofanywa leo na Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa. Kushoto ni
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga

(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA
KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIoBUTRjoODd2Q0g6uexi4uT_gKAHqifuS4MEFNHcJicIZiwUuuy5mFMz9fNI0cHo0z5roKOxEobTI1oqixTSH1dcSCCx86uXslSZW5YGslVtH8vrwRuftkOOyu1n7IvUuhAO3P-ivWnh5/s640/IMG_1690.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIoBUTRjoODd2Q0g6uexi4uT_gKAHqifuS4MEFNHcJicIZiwUuuy5mFMz9fNI0cHo0z5roKOxEobTI1oqixTSH1dcSCCx86uXslSZW5YGslVtH8vrwRuftkOOyu1n7IvUuhAO3P-ivWnh5/s72-c/IMG_1690.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kiwanda-cha-saruji-tanga-simba-cement.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kiwanda-cha-saruji-tanga-simba-cement.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy