IDARA YA HABARI (MAELEZO) YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA UBALOZI WA CHINA
HomeJamii

IDARA YA HABARI (MAELEZO) YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA UBALOZI WA CHINA

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya Krismasi kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu ...

KISOMO CHA DUA YA KUMWOMBEA AUNTY REHEMA CHAFANYIKA DMV
KONGAMANO LA PILI LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LAFANYIKA MKOANI DODOMA
DKT. KIKWETE -VIWANDA VYA KUSINDIKA MATUNDA VISIWAKANDAMIZE WAKULIMA



Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya Krismasi kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.



Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akipokea zawadi ya Krismasi kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa kwa ajili ya Idara yake leo Jijini Dar es Salaam. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong akifafanua jambo mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kutoka kushoto) walipokutana katika hafla fupi ya makabidhiano ya msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO)

Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke akimwelezea jambo Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimsikiliza Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Waziri Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong wakitia saini hati ya makabidhiano ya vifaa katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.


Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara ya Habari (MAELEZO) iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus. Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akielezea jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Mhe. WANG Ke walipokutana katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya Idara hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa China Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Mshauri wa Ubalozi wa China hapa nchini Gou Haodong (kulia). Msaada huo unajumuisha Kompyuta mpakato na samani za ofisi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IDARA YA HABARI (MAELEZO) YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA UBALOZI WA CHINA
IDARA YA HABARI (MAELEZO) YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA UBALOZI WA CHINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDvJJe5Zurq3kaxst558UO9VeH53EVUh7aaO3BhlJ2qLV3bBAEKBEmRTEKplqm7hbzzF-M2Xz7j6JiOhbbwDXQZxgpvl_oNwzMvPuFMGjXuBwD3lQ3f85B3kjt3xUor5WmdXSHCCPMVrw/s640/VF4a.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDvJJe5Zurq3kaxst558UO9VeH53EVUh7aaO3BhlJ2qLV3bBAEKBEmRTEKplqm7hbzzF-M2Xz7j6JiOhbbwDXQZxgpvl_oNwzMvPuFMGjXuBwD3lQ3f85B3kjt3xUor5WmdXSHCCPMVrw/s72-c/VF4a.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/idara-ya-habari-maelezo-yapokea-msaada.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/idara-ya-habari-maelezo-yapokea-msaada.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy