Aunt Rehema (wa nne kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na a kina dada wa DMV walioandaa dua ya kumwombea Aunt Rehema huko nchini Mare...
Aunt Rehema (kati) akiwa katika picha ya
pamoja na Bw. na Bi. Gao Jumamosi June 10, 2017 huko Silver Spring,
Maryland nchini Marekani ambako akina dada wa Kitanzania waishio DMV
wakitaribiwa na TAMCO walifanya dua ya kumuombea Aunt Rehema.
Aunty Rehema akijipakulia futari siku
ya Jumamosi June 10, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani siku
akina dada DMV wakitaribiwa na TAMCO walipomanyia dua la kumwombea.
Ustadh Gadafi (kushoto), pamoja na Miki wakiongoza dua ya kumwombea Aunt Rehema.
Waliohudhuria dua hiyo
COMMENTS