SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII
HomeJamii

SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika ...





Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai, katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake. katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi.


Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, wakifuatilia kikao cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake katika kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kushoto ni Mheshimiwa Mary Chatanda, katikati ni Mheshimiwa Atupele Mwakibete na kulia ni Mheshimiwa Neema Mgaya.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akiwasili na kupokelewa na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Ndg. Sebastian Kapufi (kulia) kabla ya kuanza kikao na kamati hiyo kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII
SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVRD6A_IvZs7_dQMeENhwyTyqPbVrWJ7TBUmdr_mbf84KfKAx7acSteuOue0uB5ndDIpwyAeeK6LvQmKB_drGsFV8DKTOmZdsvaj58IEZ0ZWlAdfVQyNRZ5VMpedKQFqDjc6m1XQqu9Pd1/s640/IMGL0772.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVRD6A_IvZs7_dQMeENhwyTyqPbVrWJ7TBUmdr_mbf84KfKAx7acSteuOue0uB5ndDIpwyAeeK6LvQmKB_drGsFV8DKTOmZdsvaj58IEZ0ZWlAdfVQyNRZ5VMpedKQFqDjc6m1XQqu9Pd1/s72-c/IMGL0772.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-katibu-wa-bunge-ndg.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-katibu-wa-bunge-ndg.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy