AGGREY&CLIFFORD YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU, DAR

 Meneja Uhusiano wa kampuni ya Aggrey&Clifford, Martha Majura (kulia) akimkabidhi mkurugenzi wa kituo cha Sadeline Health Care Trust...



 Meneja Uhusiano wa kampuni ya Aggrey&Clifford, Martha Majura (kulia) akimkabidhi mkurugenzi wa kituo cha Sadeline Health Care Trust, Sara Kitanda (kushoto) mfano wa hundi ili kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu. Wanaoshuhudia kutoka wa pili kushoto ni wakurugenzi watendaji wa Aggrey & Clifford, Luke Smit, Tel Akuku na Ryan Goslin.

 Wafanyakazi wa Aggrey&Clifford wakigawa zawadi na kufurahi na watoto hao.
 Baadhi ya watoto wakiwa na furaha baada ya kupatiwa zawadi na kuonyeshwa faraja na upendo.
Wafanyakazi wa Aggrey&Clifford katika picha ya pamoja na watoto hao wanaolelewa katika kituo cha Sadeline.
---
Kampuni ya Aggrey&Clifford imetoa msaada wa fedha kusaidia kununua mahitaji kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Sadeline Health Care Trust kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Mbali na msaada wa fedha, imetoa vifaa vya shule na vyakula ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi ambapo pia wafanyakazi wa kampuni walijitolea muda wao kucheza na kufurahi pamoja na watoto hao kwa ajili ya kuwapatia faraja.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AGGREY&CLIFFORD YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU, DAR
AGGREY&CLIFFORD YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU, DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTg2QeK2oBMlNu4Usfzw9I6sgpxUh9K1Ul97Tv-dMuMCqOb4tZdNTFu9Z5Klxnv9jWrykRU8J41RDEmkiBGr3egVvos7bGkwddfgON9ttVqed3jLbFt3sDN7uMrSqE8ubWREvMw0kQOH0/s640/AGGREY+04.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTg2QeK2oBMlNu4Usfzw9I6sgpxUh9K1Ul97Tv-dMuMCqOb4tZdNTFu9Z5Klxnv9jWrykRU8J41RDEmkiBGr3egVvos7bGkwddfgON9ttVqed3jLbFt3sDN7uMrSqE8ubWREvMw0kQOH0/s72-c/AGGREY+04.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/aggrey-yatoa-msaada-kwa-kituo-cha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/aggrey-yatoa-msaada-kwa-kituo-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy