Mzazi akimsikiliza vyema mwanafunzi wa darasa la nne akimuelezea mila na destuli mbalimbali za vyakula vyombo na utamaduni wa makabila t...
 |
| Mzazi akimsikiliza vyema mwanafunzi wa darasa la nne akimuelezea mila na destuli mbalimbali za vyakula vyombo na utamaduni wa makabila tofauti tofauti kwenye maonyesho ya science na art yalifanyika jana. |
 |
Mwanafunzi Shani wa darasa la sita akiwaeleza wazazi jinsi ya utengenezaji wa solar Power na kupelekea taa na vitu vngine kufanya kazi. Kwenye maonyesho science and art yasiyo fanyika Feza.
|
|
 |
| Mwanafunzi wa shule ya msingi Feza akimueleza mmoja wa wazazi wakati akichanganya chemical kwenye maji kwenye maonyesho ya science and art Lego ni kuwajenga watoto kuyaona masomo ya kawaida na kutimza ndoto zao maonyesho hayo yalifanyika jana shuleni kwao jijini Dar es Salaam. |
|
|
COMMENTS