WABUNGE VINARA WA JINSIA WAPATIWA SEMINA NA WAWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO.

  Vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 amba...





 Vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP Mtandao

 Mwenzeshaji kutoka TGNP Mtandao Ndg. Geofrey Chambua akizungumza na vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019 na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.

Mwenzeshaji kutoka TGNP Mtandao Ndg. Geofrey Chambua akizungumza na vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019 na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania( TWPG), Mhe Magreth Sitta (kushoto) akizungumza wakati wa semina kwa vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP Mtandao




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WABUNGE VINARA WA JINSIA WAPATIWA SEMINA NA WAWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO.
WABUNGE VINARA WA JINSIA WAPATIWA SEMINA NA WAWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXR_xjNPOfHQlHyuG4c_CwCtQ9BK2O5f1C2v9o7W3R-hZ9tk7RE1cJE-7NeNBvanCKwO-0BP3iNzZn_u8qICxBRRiGb4RzfTywOgyzIzjEqEm_IDoNOqZTPHRz0JFexXXSCapvInRZVFo/s640/IMGL4311.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXR_xjNPOfHQlHyuG4c_CwCtQ9BK2O5f1C2v9o7W3R-hZ9tk7RE1cJE-7NeNBvanCKwO-0BP3iNzZn_u8qICxBRRiGb4RzfTywOgyzIzjEqEm_IDoNOqZTPHRz0JFexXXSCapvInRZVFo/s72-c/IMGL4311.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/wabunge-vinara-wa-jinsia-wapatiwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/wabunge-vinara-wa-jinsia-wapatiwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy