Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (mwenye Tai nyekundu) amefanya ziara ya kushitukiza katika Bandari ya Dar es Salaam leo November 29, 2017...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (mwenye Tai nyekundu) amefanya ziara ya kushitukiza katika Bandari ya Dar es Salaam leo November 29, 2017 nakubaini Kampuni ya NAS ikitaka kutuo Semi-trailer 44 bilayakufuata utaratibu.

COMMENTS