RC MAKONDA ADHIHIRISHA DHANA YA 'HAPA KAZI TU', MELI KUBWA YENYE HOSPITAL NDANI YAWASILI NA MADAKTARI BINGWA WACHINA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akikagua gwaride ndani ya Meli hiyo mara baada ya kuwasili Bandari ya Dar es Salaam. ...







Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akikagua gwaride ndani ya Meli hiyo mara baada ya kuwasili Bandari ya Dar es Salaam.


Meli kubwa ya Jeshi la Jamuhuri ya China yenye Hospital ndani imewasili Leo ikiwa na Madaktari Bingwa 381,Vifaa na Madawa ya kutosha kwaajili ya kuanza kwa zoezi la Upimaji na Matibabu Bure kwa wakazi wa Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL MAKONDA ametembelea Meli hiyo na kujionea namna imesheheni Vifaa tiba vya Kisasa ambapo ndani yake vipo vyumba 8 vya Upasuaji, Vyumba vya ICU, Wodi za Wagonjwa, Vyumba vya Madaktari, Mitambo ya kisasa, Mahabara na Sehemu ya Wagonjwa kupumzika.

Meli hiyo ya kipekee ina Helicopter kwaajili ya wagonjwa ambapo kwa Ulimwenguni Meli za Aina hiyo zipo Mbili pekee ambapo moja ni hii iliyokuja Tanzania na nyingine ipo Nchini Marekani.

RC MAKONDA amesema Meli hiyo ina mfumo maalumu wa Mawasiliano Kati ya Meli na Taifa la China pale inapotokea Ugonjwa umeshindikana.Tayari Jopo la wataalamu 30 wameenda Hospital za Amana, Temeke, Mwananyamala na Ocean Road kwaajili ya kukarabati na kufunga vifaa vipya kwa vile vitakavyobainika vilivyoharibika au Kufa.

Amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha Hakuna mwananchi anaepoteza maisha kwa kigezo cha kukosa huduma.Amewasihi Wananchi wenye magonjwa yaliyoshindikana kwa muda mrefu kuchangamkia Fursa hii ya matibabu Bure chini ya Madaktari Bingwa kutoka China.

Kwa upande wake kiongozi Mkuu wa Meli hiyo Kamanda GUAN BAILIN amesema wamekuja na vifaa vya kutosha na madaktari waliobobea hivyo wananchi Wajitokeze kwa wingi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RC MAKONDA ADHIHIRISHA DHANA YA 'HAPA KAZI TU', MELI KUBWA YENYE HOSPITAL NDANI YAWASILI NA MADAKTARI BINGWA WACHINA
RC MAKONDA ADHIHIRISHA DHANA YA 'HAPA KAZI TU', MELI KUBWA YENYE HOSPITAL NDANI YAWASILI NA MADAKTARI BINGWA WACHINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLgUnVIMx2dSezjqmMakxcbd6lhIqof1-dXMPQjC3afwylUmAFfKSwbptyhkn_Z8ujfyIn74uI0MYH0HUGVvvkFG770kXsjO1nQt_QO6M0IpQqQkTqb_JU1-D4sA07TECXiTQ_kKuEYZKK/s640/index-32-768x512.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLgUnVIMx2dSezjqmMakxcbd6lhIqof1-dXMPQjC3afwylUmAFfKSwbptyhkn_Z8ujfyIn74uI0MYH0HUGVvvkFG770kXsjO1nQt_QO6M0IpQqQkTqb_JU1-D4sA07TECXiTQ_kKuEYZKK/s72-c/index-32-768x512.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rc-makonda-adhihirisha-dhana-ya-hapa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rc-makonda-adhihirisha-dhana-ya-hapa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy