Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapind...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohamed Shein alipokutana naye Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohamed Shein alipokutana na kufanya mazungumzo nae Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017.
COMMENTS