RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO
Msaidizi wa Rais Kanali Mbaraka Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la kuswalia msikitini hapo akiwa kaongozana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Jaffary Haniu (nyuma ya Imamu) leo Novemba 17, 2017. (Picha na Ikulu)
HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

Msaidizi wa Rais Kanali Mbaraka Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sh...








JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULUDescription: Description: Description: Description: Description: Coat of Arms
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz               

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waumini wa dini ya Kiislam wa Msikiti wa Noor uliopo katika Kijiji cha Mkange, Miono,  Wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani ,wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa msaada wa zulia la kuswalia na fedha taslim Shilingi milioni Mbili.
Zulia pamoja na fedha hizo zimekabidhiwa na Msaidizi wa Rais Kanali Mbaraka Mkeremy kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Imamu wa Msikiti huo Alhaji Sheikh Khamis Nassor wa Msikiti Noor uliopo katika kijiji cha Mkange, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani.
Mara baada ya kukabidhi Zulia na fedha hizo, Kanal Mkeremy kwa niaba ya Rais Magufuli amewataka waumini wa Msikiti huo kutumia msaada huo kwa lengo lililokusudiwa.
Akiungumza mara baada ya kukabidhiwa Msaada huo, Sheikh Nassor amesema kwa niaba ya waumini wa Msikiti huo wanamshukuru Mhe. Rais kwa kuitikia ombil lao la kupata zulia, na kwamba  kwa kutimiza ahadi yake hiyo Mhe. Rais amedhihirisha kuwa yeye ni mtu wa watu asiyebagua dini wala kabila katika kusaidia jamii ya kitanzania.
Sheikh Nassor amesema waumini wa msikiti huo wanamuombea na wataendelea  kumuombea Mheshimiwa Rais na kuwataka watanzania wote nchini kuungana nao kumuombea Rais bila kujali itikadi za kisiasa ama imani za kidini kwani anayoyafanya Rais kwa wananchi wa Tanzania ni kwa manufaa ya wananchi wote.
Jaffar Haniu
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Pwani
17 Novemba 2017.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO
RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnW9AvR6w6a_3zDQMAn85QEzZl9_nInBAsI3R6JkV8bGkVVJUIoVIxkzCk5oRmCruobmFKYxq2nzsQM5udsQj8VPzai5gD030sGKvL4yynRbXOlfleuiStM07rEySfL82stCXfMCw-9oE/s640/IMGT0029.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnW9AvR6w6a_3zDQMAn85QEzZl9_nInBAsI3R6JkV8bGkVVJUIoVIxkzCk5oRmCruobmFKYxq2nzsQM5udsQj8VPzai5gD030sGKvL4yynRbXOlfleuiStM07rEySfL82stCXfMCw-9oE/s72-c/IMGT0029.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-atoa-msaada-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-atoa-msaada-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy