RAIS DKT. MAGUFULI AKIFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa rasmi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera. (PICHA NA IKULU)

HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI AKIFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi w...

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA KUFANYIKA LEO MKOANI MARA
WASTAAFU PSPF MWAKA 2017/18 "KULAMBA" SHILINGI TRILIONI 1.3 ZA MAFAO
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT PHILEMON NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  wa pili kutoka (kushoto) pamoja na viongozi wengine wa Serikali kuashiria ufunguzi rasmi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya ufunguzi huo wa uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mke wake Mama Janeth Magufuli (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge, viongozi wa Serikali pamoja na Viongozi wa  Dini mara baada ya ufunguzi wa uwanja huo wa Ndege.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na kumshukuru Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald mara baada ya shughuli za ufunguzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba.
(PICHA NA IKULU)



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AKIFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA
RAIS DKT. MAGUFULI AKIFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimwX9JqrGIRsB6_oUaLru3tqhfaj5eA749SmWEap1m1lPQN14ZPi0NG3let-74Q3ls9s1haHWLSPeaBwvu9Z1_eWPThxuaUNG5vkzxUh_zUrFBnFAtzUZ6KKErPfCW7saNe1LqdeeaGeA/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimwX9JqrGIRsB6_oUaLru3tqhfaj5eA749SmWEap1m1lPQN14ZPi0NG3let-74Q3ls9s1haHWLSPeaBwvu9Z1_eWPThxuaUNG5vkzxUh_zUrFBnFAtzUZ6KKErPfCW7saNe1LqdeeaGeA/s72-c/2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akifungua-uwanja-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akifungua-uwanja-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy