PROFESA MBARAWA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI NA WATENDAJI WA TBA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Msanifu Majengo Elius Mwakalinga, katika kikao kazi kilichowakutanisha wajumbe wa Bodi na baadhi ya watendaji wa Wakala huo katika ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam leo.

HomeJamii

PROFESA MBARAWA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI NA WATENDAJI WA TBA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Msani...

BALOZI WA TANZANIA NCHINI SRI LANKA, MHE.BARAKA LUVANDA AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO
SEKTA BINAFSI YACHANGIA MAADALIZI YA WIKI YA TANZANIA NA NCHI YA KENYA
TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA (TEWW) KUENDELEA KUWA KITOVU CHA KUTOA ELIMU BORA.



Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Dkt. William Nshama, akizungumza na wajumbe wa Bodi na baadhi ya watendaji wa Wakala wa Majengo (TBA), katika kikao kazi kilichofanyika katika ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam leo, kujadili maendeleo ya utendaji kazi wa Wakala huo.


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Majengo (TBA), Dkt. Edward Ngwale  akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, katika kikao kazi kilichowakutanisha wajumbe wa Bodi na baadhi ya watendaji wa Wakala huo katika ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam leo.



Wajumbe wa Bodi wa Wakala wa Majengo (TBA), wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, katika kikao kazi kilichofanyika kwenye ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam leo, kujadili maendeleo ya utendaji kazi wa Wakala huo.



Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Msanifu Majengo Elius Mwakalinga, akisisitiza jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, katika kikao kazi kilichofanyika kwenye ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam leo, kujadili maendeleo ya utendaji kazi wa Wakala huo.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PROFESA MBARAWA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI NA WATENDAJI WA TBA JIJINI DAR ES SALAAM
PROFESA MBARAWA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI NA WATENDAJI WA TBA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYnNY5ZIGfPPGUw3v9YKqqFGOVHvp53EaiZyzQedN5u6UFy-9cL8wruJ8rH5YcK9xCGXp2r1AvhaYQE-YPDMPjsDHrLgN6AnbIylfguQjwxjZcEMJ-jqZ7s5b6l4zD0dH3lsQWSFeEFrk/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYnNY5ZIGfPPGUw3v9YKqqFGOVHvp53EaiZyzQedN5u6UFy-9cL8wruJ8rH5YcK9xCGXp2r1AvhaYQE-YPDMPjsDHrLgN6AnbIylfguQjwxjZcEMJ-jqZ7s5b6l4zD0dH3lsQWSFeEFrk/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/profesa-mbarawa-akutana-na-wajumbe-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/profesa-mbarawa-akutana-na-wajumbe-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy