POLISI KIKOSI CHA RELI, WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
HomeJamii

POLISI KIKOSI CHA RELI, WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)

 Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Koplo Grace Ndyamukama akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (...

TSN,TBC ZA TWAA TUZO ZA DSE 2017 PIA ZIPO NMB, TBL NA STANDARD CHARTERED BANK
BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 29.09.2017
PROF. KABUDI ATEMBELA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI




 Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Koplo Grace Ndyamukama akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia. Kushoto ni Mama wa mtoto Nasra Khalfan.
 Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) ambaye pia ni Mkuu wa kituo cha Polisi Reli Martha Mdinka akimpa zawadi ya dawa ya meno, maji ya kunywa na juisi  Hadija Selemani ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia.
  Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Rhoda Israel  akimpa zawadi ya juisi  Sada Issah ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia.
 Maafisa wa  Jeshi la Polisi kikosi cha Reli wakigawa zawadi za maji ya kunywa, dawa za mENO,  juisi, mafuta ya kupakaa, sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto waliolazwa  katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia.
 Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha Reli Jane John akimpa zawadi za maji ya kunywa, dawa ya meno,  juisi, mafuta ya kupakaa na  sabuni Maimuna Daud  ambaye amelazwa na mtoto katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) walipotembelea Taasisi hiyo leo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) ambaye pia ni Mkuu wa kituo cha Polisi Reli Martha Mdinka akiongea jambo na wagonjwa walipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  leo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia.
 Maafisa wa  Jeshi la Polisi kikosi cha Reli wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kutembelea Taasisii ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kugawa zawadi za maji ya kunywa, dawa za meno,  juisi, mafuta ya kupakaa, sabuni za kuogea  na kufulia kwa watoto waliolazwa  katika taasisi hiyo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Polisi  Wanawake Dawati la Jinsia.
(Picha na JKCI)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: POLISI KIKOSI CHA RELI, WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
POLISI KIKOSI CHA RELI, WANAWAKE DAWATI LA JINSIA WASHEREHEKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO NA KUTEMBELEA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnMkWUD594KwT6yE4zLAypf3uR6H3f7ywOLL_3CZwj5x_laP3EQAn22bn6NIO_gNYwdX8T4qF0WvFB8GoJnCeOSgLi4t7zrC1T5TWpx1VTnwsnAmXRxyE8Lgb9zHQKBeDu0cDZMQeWF0NO/s640/Picha+no.+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnMkWUD594KwT6yE4zLAypf3uR6H3f7ywOLL_3CZwj5x_laP3EQAn22bn6NIO_gNYwdX8T4qF0WvFB8GoJnCeOSgLi4t7zrC1T5TWpx1VTnwsnAmXRxyE8Lgb9zHQKBeDu0cDZMQeWF0NO/s72-c/Picha+no.+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/polisi-kikosi-cha-reli-wanawake-dawati.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/polisi-kikosi-cha-reli-wanawake-dawati.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy