MHE MAJALIWA AKUTANA NA KUSALIMIANA NA WAGENI MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati amba...


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu  na  wananfunzi wa shule ya Sekondari ya Ibuaga wilayani Kongwa ambao walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Spika wa Bunge, Job Ndugai Novemba 16, 2017. 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchuo wa Chuo Kikuu cha Saint John cha mjini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)









COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHE MAJALIWA AKUTANA NA KUSALIMIANA NA WAGENI MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA
MHE MAJALIWA AKUTANA NA KUSALIMIANA NA WAGENI MBALIMBALI WALIOTEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkMPkomxF-a7d4gBSklx0SLAcFUnGreokfAbTbZxPlf1vyvn1PwDddD_GNi4t66nJttFXkvQIDQVFsrtxGxBaFHGmdUC065CbOx-NVO2aJZahI7ry839pWeZmUk4v4-1ssWvsEEPluD3U/s640/PMO_8398.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkMPkomxF-a7d4gBSklx0SLAcFUnGreokfAbTbZxPlf1vyvn1PwDddD_GNi4t66nJttFXkvQIDQVFsrtxGxBaFHGmdUC065CbOx-NVO2aJZahI7ry839pWeZmUk4v4-1ssWvsEEPluD3U/s72-c/PMO_8398.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/mhe-majaliwa-akutana-na-kusalimiana-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/mhe-majaliwa-akutana-na-kusalimiana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy