MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KALETENI MABADILIKO KATIKA MAENEO YENU, MHE SIHABA NKINGA
HomeJamii

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KALETENI MABADILIKO KATIKA MAENEO YENU, MHE SIHABA NKINGA

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii, Sihaba Nkinga  katika Mkuta...

TAARIFA YA HALI YA HEWA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA)
JKCI KUENDELEA KUPOKEA MADKTARI KUTOKA CHINA.
WATANZANIA TUENDELEE KUICHANGIA TAASISI YA JKCI: DKT.TULIA





Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii, Sihaba Nkinga  katika Mkutano wa wataalam wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii unaomalizika leo Mjini Dodoma na kuwasisitiza kwenda kuleta mabadiliko sehemu walizopo. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW)

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini kwenda kuleta mabadiliko katika maeneo yao.

Ameyasema hayo Mjini Dodoma wakati wa Siku ya mwisho ya Mkutano wa wataalam wa Sekta ya Maendeleo unaomalizika leo mjini Dodoma na kusisitiza kuwa wao ni watu muhimu na wanayodhamana ya kuleta mabadiliko katika maeneo yao kwa kuamsha ari ya wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo jumuishi na endelevu.

Ameongeza kuwa ubunifu na uwajibikaji kwa Afisa Maendeleo ya Jamii ni tunu kubwa itakayowezesha wawezesha kuwa chachu ya mabadiliko katika maeneo mnayotumika jamii.

“Niwaombe Maafisa Maendeleo ya Jamii mliopo hapa na muwafikishie ujumbe wasiokuwepo katika Mkutano huu kuwa wanatakiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika maeneo yao” alisema Bibi. Sihaba.

Aidha, Bibi Sihaba Nkinga amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kama wasajili wasaidizi wa Mashirika Yasiyokuwa ya Serikali kuwajibu wa kuonesha uzalendo na utanzania wetu kwa kuhakikisha kuwa mashirika (NGOs) yanafanya kazi kwa kuzingatia Sheria, taratibu na Kanuni ili kutoa mchango katika sekta zinazosisimua ukuaji wa maendeleo ya nchi na kusisimua ustawi wa jamii.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bw. Marcel Katemba amewashauri Maafisa Maendeleo ya Jamii kuzingatia Kanuni na Sheria katika kuratibu ufanyaji kazi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika maeneo yao.

“Tuzingatie Sheria na Kanuni katika kuyaratibu Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika maeneo yetu” alisema Bw. Katemba

Naye kwa niaba ya Maafisa Maendeleo ya Jamii Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kyela  Bi. Nelusigwa Mwakigonja ameishukuru Wizara mama kwa kuwaleta pamoja Maafisa Maendeleo ya Jamii na kutoa maelekezo kwao ili waweze kuleta mabadiliko katika sehemu zao za kazi.

“Tunaishukuru Wizara kwa kutuleta pamoja na tunaahidi tutaenda kuyatekeleza maelekezo yote tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wetu” alisema Bi Nelusigwa.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KALETENI MABADILIKO KATIKA MAENEO YENU, MHE SIHABA NKINGA
MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KALETENI MABADILIKO KATIKA MAENEO YENU, MHE SIHABA NKINGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigNPApRQ7dL3nLmVY_tzVEDuiUjNY1bVMieoupPlLxj7aWQqKs0wvczKBD4VdEtkltoJP5svmJl54LBx1ze5AVT1WoltTUk_uWFKf44oJX0YKk63TD_8lwo9MwjtMNYS1CaE8rV-N9aKA/s1600/Picha+%25282%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigNPApRQ7dL3nLmVY_tzVEDuiUjNY1bVMieoupPlLxj7aWQqKs0wvczKBD4VdEtkltoJP5svmJl54LBx1ze5AVT1WoltTUk_uWFKf44oJX0YKk63TD_8lwo9MwjtMNYS1CaE8rV-N9aKA/s72-c/Picha+%25282%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/maafisa-maendeleo-ya-jamii-kaleteni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/maafisa-maendeleo-ya-jamii-kaleteni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy