TCAA KUBORESHA MIUNDOMBINU UONGOZAJI NDEGE

Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji Ndege Bw. Tuju Sharali akitoa maelezo kwa waandishi wa habari katika chumba maalumu kinachotumika kurusha na ...



Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji Ndege Bw. Tuju Sharali akitoa maelezo kwa waandishi wa habari katika chumba maalumu kinachotumika kurusha na kutua ndege mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha juu cha kuongozea ndege wakiwa katika kazi ya mawasiliano kutoka vituo vingine vya kimataifa ili kuwezesha kuruka na kutuo kwa ndege za abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutembelea kituo hicho ili kujionea vifaa hivyo ambavyo vitabadilishwa na kuingia katika mfumo mpya wa uongozaji ndege .

Chumba na vifaa vya kuongozea ndege kuanzia umbali wa futi 24000 kwenda juu kinachotumika katika kuongozea ndege zikiwa juu zaidi, kurusha pamoja na kuziendesha wakati wa kutua katika idara ya uendeshaji na huduma za ndege(TCAA) Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),leo jijini Dar es Salaam.


Rada inayotumika kwa sasa katika kuongoza ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kama inavyoonevyoonekana katika picha.


Mkuu wa Kitengo cha Mawasilisno ya Uendeshaji Ndege wa (TCAA) Bw.Deodore Mushi akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusu ufanyaji kazi wa mitambo ya kuongozea ndege katika kituo cha kuongoza ndege cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Paschal Dotto – MAELEZO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TCAA KUBORESHA MIUNDOMBINU UONGOZAJI NDEGE
TCAA KUBORESHA MIUNDOMBINU UONGOZAJI NDEGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj60Hrfhp-W3oX4G2ZIIwMIHhmcWW_vejYAzhdkM7CRucTM56XcvA0H55VmqwNKMlsbMPu2tyFdmNt7wCQS4AcmiTiOJknHyLKo6Oz-L1YhphPzclZwsB6MaAUS03jE8LjjeNs9VoDXy8Dy/s640/picha-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj60Hrfhp-W3oX4G2ZIIwMIHhmcWW_vejYAzhdkM7CRucTM56XcvA0H55VmqwNKMlsbMPu2tyFdmNt7wCQS4AcmiTiOJknHyLKo6Oz-L1YhphPzclZwsB6MaAUS03jE8LjjeNs9VoDXy8Dy/s72-c/picha-1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/tcaa-kuboresha-miundombinu-uongozaji.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/tcaa-kuboresha-miundombinu-uongozaji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy