RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI MISRI NA ZAMBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI MISRI NA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Mi...

SERIKALI YASISITIZA UWAZI SHUGHULI ZA MADINI
DK. KIGWANGALLA AWATAKA WALIOVAMIA KIWANJA CHA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO KILICHOPO NJIRO, JIJINI ARUSHA KUJIANDAA KISAIKOLOJIA
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE



Balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa Suleiman Nassor


Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017 Abdulrhaman Kaniki kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Abdulrahman Kaniki  kuwa balozi wa Tanzania nchini Zambia Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017




Mabalozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor (kushoto) na Mhe. Abdulrahman Kaniki balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia wakila viapo vya maadili ya viongozi baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017


Balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor akiongea machache baada ya kuapishwa  Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017


Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki machache baada ya kuapishwa  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Mhe. Abdulrahman Kaniki  kuwa balozi wa Tanzania nchini Zambia Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Mhe. Issa Suleiman Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katka picha na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki  na  balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa Suleiman Nassor baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017  


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Naibu Waziri wa mambo ya Nje Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje Dkt. Aziz Ponary Mlima na Viongozi wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakiwa  katka picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki  na  balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa Suleiman Nassor baada ya kuapishwa    Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki  na maofisa waandamizi wa Polisi   Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2017. (Picha na IKULU)

















  



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI MISRI NA ZAMBIA
RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI MISRI NA ZAMBIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgymyi2Dn32qzEX6rwNUu1D7WeG1w8n2L8yS_xm1Q-PfPs5IwEsKr7g_vNCPUMy6S_41-m5IdGIEnARKHVupTAkx2zwWqT8sSH235SqG4nQN3Lwk_Tsrzv5KR07aMzg8l5kXWeMeTzBDU4/s640/e+%25284%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgymyi2Dn32qzEX6rwNUu1D7WeG1w8n2L8yS_xm1Q-PfPs5IwEsKr7g_vNCPUMy6S_41-m5IdGIEnARKHVupTAkx2zwWqT8sSH235SqG4nQN3Lwk_Tsrzv5KR07aMzg8l5kXWeMeTzBDU4/s72-c/e+%25284%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-awaapisha-mabalozi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-awaapisha-mabalozi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy