Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Nmb Tawi la Dodoma wakiwa kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Mteja. Picha nyingine wakiwa na mgeni ...
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Nmb Tawi la Dodoma wakiwa kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Mteja. Picha nyingine wakiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Christina Mndeme.
Kaimu meneja Nmb Tawi la Dodoma Benedict Urasa akizungumza wakati wa kabla ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ilifanyika ukumbi wa benki hiyo Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Cristina Mndeme akilishana keki na meneja wa Kanda ya Kati wa benki ya Nmb Straton Chilongola kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Wateja ilifanyika katika ukumbi wa benki hiyo mjini Dodoma leo
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Cristina Mndeme akizungumza kwenye uzinduzi wa wiki ya Huduma kwa wateja
COMMENTS