NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA.
HomeJamii

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akimsalimia mmoja wa wafanyakazi le...

AHADI ZA RAIS DKT. MAGUFULI ZATEKELEZWA KATIKA ZIARA YAKE MIKOA YA KUSINI
RAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO. ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI.
RAIS DK. SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA






Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akimsalimia mmoja wa wafanyakazi leo, mjini Dodoma, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.



Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (katikati), akitambulishwa na kuoneshwa ofisi mbalimbali zilizopo katika Wizara hiyo leo, mjini Dodoma.



Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto mbele), akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa huduma za ufundi na umeme wa Wizara hiyo ambaye anamwakilisha Katibu Mkuu, Dkt. William Nshama, mara baada ya kuwasili ofisini kwake mjini Dodoma, leo.



Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake leo, mjini Dodoma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.




Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akizungumza na Menejimenti ya Wizara hiyo leo, mjini Dodoma, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA.
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL5DMZZY105nLEv6pr8NLFBTV4erOLVeN1IuRIY7q6vWutvlfgISoJ_WBBjRB8OcqcG9vR3D8KBXYH3CYn2aPCMziLDABX68JlHNKEv_StSwpZ_k8QYqwiaIvH6A6e0dAY14-cpOfHeL5h/s640/3.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL5DMZZY105nLEv6pr8NLFBTV4erOLVeN1IuRIY7q6vWutvlfgISoJ_WBBjRB8OcqcG9vR3D8KBXYH3CYn2aPCMziLDABX68JlHNKEv_StSwpZ_k8QYqwiaIvH6A6e0dAY14-cpOfHeL5h/s72-c/3.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-kwandikwa-awasili-ofisini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-kwandikwa-awasili-ofisini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy