NAIBU WAZIRI AWESO AWATAKA WAKAZI WA PANGANI KUWA NA MSHIKAMANO ILI KUPATA MAENDELEO

 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Pangani  kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika u...



 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo  alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele
gurudumu la maendeleo 
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani akizungumza katika mkutano huo
 Mkuu wa wilaya ya Pangani.Zainabu
Issa akizungumza katika mkutano huo ambapo alimuomba Naibu Waziri huyo
ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kuiwekea msukumo barabara ya
Tanga-Pangani ili kufungua fursa za kiuchumi kwa wilaya hiyo
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya PanganiSeif Saidi akizungumza katika mkutano huo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Sabas Chamnbasi akizungumza katika mkutano huo
 Diwani wa Kata ya Pangani Magharibi (CCM) John Semkande akizungumza katika mkutano huo
NAIBU Waziri wa Maji na
Umwagiliaji,Jumaa Aweso akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Pangani wakati
alipokwenda kuhutubia wananchi wa wilaya ya Pangani

kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo
alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele
gurudumu la maendeleo
NAIBU Waziri wa
Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akilakiwa na wananchi wa Jimbo la
Pangani wakati alipokwenda kuhutubia wananchi wa wilaya ya Pangani

kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo
alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele
gurudumu la maendeleo
NAIBU Waziri wa
Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiingia eneo la mkutano kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Pangani

NAIBU Waziri wa
Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiwapungia mkono wananchi wa Jimbo hilo
NAIBU Waziri wa
Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano huo
NAIBU Waziri wa
Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso katikati akifuatilia matukio mbalimbali
kwenye mkutano huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani.


 Kikundi cha Burudani kikitoa burudani kwenye mkutano huo wa hadhara.
 Mganga Mkuu wa wilaya ya Pangani,Dkt Juma Mfanga akifuatilia mkutano huo
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mji wa Pangani wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso. (Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI AWESO AWATAKA WAKAZI WA PANGANI KUWA NA MSHIKAMANO ILI KUPATA MAENDELEO
NAIBU WAZIRI AWESO AWATAKA WAKAZI WA PANGANI KUWA NA MSHIKAMANO ILI KUPATA MAENDELEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUhb_2oDtLvG8fl2_kRRbmZ84Tr8xPhSWFhI0ue8cgSG-shR-AQAxHNHt2BlqIpcQ8FDQmB2cBQGuwpfB6MrveO-e-fLksrzI4vkefAsvjYSqMxF6dNOimJJxXk9BFYEDDnleLXUOgJpp_/s640/IMG_1533.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUhb_2oDtLvG8fl2_kRRbmZ84Tr8xPhSWFhI0ue8cgSG-shR-AQAxHNHt2BlqIpcQ8FDQmB2cBQGuwpfB6MrveO-e-fLksrzI4vkefAsvjYSqMxF6dNOimJJxXk9BFYEDDnleLXUOgJpp_/s72-c/IMG_1533.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-aweso-awataka-wakazi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-aweso-awataka-wakazi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy