MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I  YANAENDELEA
HomeJamii

MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I YANAENDELEA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa Wataalamu wetu wanafanya matengenezo ya dharura katika Mfumo...

TAIFA LA WATU WAADILIFU HUANZIA KWENYE FAMILIA – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MARAYAPILI YA MZEE YUSTINO NDUGAI
UNIC YATAKA WAHITIMU ACADEMIC INTERNATIONAL KUTOJIINGIZA KWENYE DAWA ZA KULEVYA







Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa
Wataalamu wetu wanafanya matengenezo ya dharura
katika Mfumo wa kupokea gesi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa njia
ya gesi asilia cha Kinyerezi I.

Hivyo Kituo kitazimwa Saa 6:00 mchana hadi Saa 7:00 Mchana ili
kupisha matengenezo.

Baadhi ya maeneo mbalimbali ya nchi katika kipindi hicho yatakosa
umeme.

Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu

Imetolewa na:-       
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

31/10/2017
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I YANAENDELEA
MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I YANAENDELEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWn8fxvWPnb7NsQvXYJJ-nI3psh7m48B8Qe21nHZs-bKAZ7_rrZVt2erxWf5WURFhFH6mppgWxxliBk5yd6_WEEs3a6JhN1oWQqRK42qBW6PIxgpWhBI3W6J89COJCs7IisDVJH5wLT709/s320/5R5A2026.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWn8fxvWPnb7NsQvXYJJ-nI3psh7m48B8Qe21nHZs-bKAZ7_rrZVt2erxWf5WURFhFH6mppgWxxliBk5yd6_WEEs3a6JhN1oWQqRK42qBW6PIxgpWhBI3W6J89COJCs7IisDVJH5wLT709/s72-c/5R5A2026.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/matengenezo-ya-dharura-kituo-cha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/matengenezo-ya-dharura-kituo-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy