MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA NA UWEKEZAJI YAFANA DAR

 Ssehemu ya wananchi wakitoka kwenye semina ya ufugaji bora wa samaki wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji iliy...



 Ssehemu ya wananchi wakitoka kwenye semina ya ufugaji bora wa samaki wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji iliyoandaliwa na Taasisi ya NUEBRAND EC kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)



 Joachim Komba wa Taasisi ya Eden Agri, akitoa elimu ya ufugaji bora wa samaki na faida zake wakati wa semina iliyofanyika  wakati wa wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji.

 Wajasiriamali wakiata maelezo kuhusu ufugaji bora wa samaki aina ya kambare  waliokuwa wakioneshwa katika banda hilo la Eden Agri

 Wananci wakiwa banda la NSSF

 Wajasiriamali wakipata maelezo ya jinsi ya kunufaia na Benki ya NMB kuhusu mikopo mbalimbali

 Ofisa wa Benki ya Watu wa Zanzibar,Aisha Ali Mohammed akimpatia maelezo mkazi wa Jiji kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo

 Maofisa wa Taasisi ya Nuru wakitoa maelezo  kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo

 Wajasiriamali wakisikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA), Neema Fredrick (kushoto) na Godfrey Mshomari kuhusu bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wajasiriamali wanachama wa mtandao huo. Aliyekaa ni Happiness Mshana.

 Ofisa Mkuu wa Elimu kwa Huduma kwa Mlipa Kodi wa TRA, James Mtalika (Kushoto), akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na mamlaka hiyo wakati wa maonesho hayo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akifafanua jambo kwa wajasiriamali kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo

 Meneja Uhusiano wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA), Neema aktoa mafunzo kuhusu ulimaji bora wa kilimo cha mchaichai kinachoendeshwa na mtandao huo

 Mabanda ya taasisi zilizoshiriki kwenye maonesho hayo



Maofisa wa Vicoba ambao ni sehemu ya wawezeshaji wa maonesho hayo

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA NA UWEKEZAJI YAFANA DAR
MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA NA UWEKEZAJI YAFANA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWB1OLW-D1TwffjJHo7Cx8sdA5XMGCd80TCpGXRbC_yF0JXl_QfP4e14Kqsa7bSWRddPXSt3kAusadHk-xJN_nTYMvbsA2ZIsTxznCi7g5GIIzra2ZeoCEQhRmGEgAPyMjPA1WaFl9SA7S/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWB1OLW-D1TwffjJHo7Cx8sdA5XMGCd80TCpGXRbC_yF0JXl_QfP4e14Kqsa7bSWRddPXSt3kAusadHk-xJN_nTYMvbsA2ZIsTxznCi7g5GIIzra2ZeoCEQhRmGEgAPyMjPA1WaFl9SA7S/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/maonesho-ya-wiki-ya-huduma-za-fedha-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/maonesho-ya-wiki-ya-huduma-za-fedha-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy