Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya chupa zenye maji anayongezewa mgonjwa mwilini wak...


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya chupa zenye maji anayongezewa mgonjwa mwilini wakati wa Ufunguzi Kongamano la 49 la Afya Kitaifa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Tanzania, kushoto pichani ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania Dkt. Obadia Nyongole. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 49 la Afya na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Madaktari Tanzania ulioanza na kufanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




COMMENTS