MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA NYUMBANI, WAAJIRI PAMOJA NA WATENDAJI JIJINI MWANZA

Binagi Media Group Utafiti uliofanywa na Shirika la hutetea haki za watoto wafanyakazi wanyumbani WOTESAWA Jijini Mwanza, unaonyesha...


Binagi Media Group

Utafiti
uliofanywa na Shirika la hutetea haki za watoto wafanyakazi wanyumbani WOTESAWA
Jijini Mwanza, unaonyesha kwamba watoto hao bado wanakumbana na aina mbalimbali
za ukatili ikiwemo utumikishwaji.

Utafiti huo
uliofanyika mwaka jana ulibaini kwamba asilimia 91.9 ya watoto wafanyakazi wa
nyumbani katika Kata nne za Jiji hilo hawana mikataba ama makubaliano baina ya
wazazi na waajiri wao, asilimia 5.4 wana mikataba huku asilimia 80 ikionyesha
wapo wanaofanya kazi bila malipo huku wanaolipwa mshahara chini ya shilingi
20,000 wakiwa ni asilimia 20.

Utafiti huo
ulifanyika katika Kata za Igogo ambapo watoto wafanyakazi wa nyumbani 43
walifikiwa, Mkuyuni 42, Nyamagana 32 pamoja na Butimba 37 na hivyo kufanya
idadi ya watoto wafanyakazi wa nyumbani waliofikiwa kuwa 154, wavula wakiwa ni
16 na wasichana 138.



Hali hii
inaongeza chachu kwa shirika la WOTESAWA kuwajengea uwezo watoto wafanyakazi wa
nyumbani, waajiri wao pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo Madiwani,
Watendaji, Wenyeviti wa Mitaa, Maafisa Ustawi wa Jamii, pamoja na maofisa wa
dawati la jinsia kutoka jeshi la polisi kama anavyoeleza Mkurugenzi wa shirika
hilo, Angel Benedicto.

Washiriki wa semina hiyo wakimsikiliza Mkurugenzi wa WOTESAWA, Angel Benedicto.

Mkurugenzi wa WOTESAWA, Angel Benedicto akizungumza kwenye semina hiyo
Washiriki wa semina hiyo wakimsikiliza Mratibu wa Shirika la WOTESAWA.

Mratibu wa Shirika la WOTESAWA, Elisha Daud akiwasilisha mada kwenye semina hiyo
Mratibu wa Shirika la WOTESAWA, Elisha Daud akiwasilisha mada kwenye semina hiyo
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo akiandika maazimio 
Washiriki wa semina hiyo
Diwani wa Kata ya Butimba, John Pambalu akitoa salamu za shukurani wakati wa tamati ya semina hiyo
Washiriki
Ukumbi wa pili, semina kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani pamoja na waajiri wao
Semina kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani pamoja na waajiri wao
Picha ya pamoja
Bonyeza HAPA uchaguzi wa viongozi wa watoto wafanyakazi wa nyumbani

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA NYUMBANI, WAAJIRI PAMOJA NA WATENDAJI JIJINI MWANZA
MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA NYUMBANI, WAAJIRI PAMOJA NA WATENDAJI JIJINI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5cm1ZKFbRa9popjY9jVGiy8lwTvKIyraPq9w0_DnFeMT1N98AhCZjB-VD9iIEsgLFbibcoIRq4WNzswmKOHNsmUqP36WkHUgr2aYPmKHh4YW8rYs_Y8LA-EX0T2mwFdfm-l_nIwit13Q/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5cm1ZKFbRa9popjY9jVGiy8lwTvKIyraPq9w0_DnFeMT1N98AhCZjB-VD9iIEsgLFbibcoIRq4WNzswmKOHNsmUqP36WkHUgr2aYPmKHh4YW8rYs_Y8LA-EX0T2mwFdfm-l_nIwit13Q/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mafunzo-kwa-wafanyakazi-wa-nyumbani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mafunzo-kwa-wafanyakazi-wa-nyumbani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy