KIKOSI KAZI SEKTA YA ARDHI CHAKUTANA KUREJEA MWONGOZO NA KUKAMILISHA MKAKATI,MOROGORO
HomeJamii

KIKOSI KAZI SEKTA YA ARDHI CHAKUTANA KUREJEA MWONGOZO NA KUKAMILISHA MKAKATI,MOROGORO

Kikosi Kazi kinachojumuisha Sekta kuu za matumizi ya Ardhi na Asasi za Kiraia wamekutana kwa ajili kuendelea kurejea Mwongozo wa ush...

HARUSI YA ABDALLAH MRISHO NA CATHERINE, ILIVYONOGA
MZEE RUKSA AWAASA WAZEE WENZAKE NA JAMII KWA UJUMLA
JAMII YATAKIWA KUIFANYA LUGHA YA ALAMA KUWA KISWAHILI CHA PILI KUWAWEZESHA VIZIWI KUPATA TAARIFA


Kikosi Kazi kinachojumuisha Sekta kuu za
matumizi ya Ardhi na Asasi za Kiraia wamekutana kwa ajili kuendelea kurejea
Mwongozo wa ushirikishaji katika kupanga mipango ya matumizi ya Ardhi pamoja na
kukamilisha kazi ya rasimu ya Mkakati wa kukabiliana na changamoto
zinazoikabili mipango ya matumizi ya ardhi ikiwemo kuutafsiri kwa lugha ya
kiswahili.
 Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi
ya Ardhi Dkt. Stephen Nindi, pamoja na kupongeza kazi nzuri ambayo
inafanywa na kikosi kazi, lakini pia lizungumzia swala la mipango
miji,upangaji wa mipango bora ya matumizi ya ardhi utakaozingatia
mtazamo wa kuipeleka nchi katika Dira ya viwanda na pamoja na swala
la mabadiliko ya Tabianchi, ili wananchi wawe tayari
kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya Tabianchi kunatakiwa kuwe na
mipango mizuri ya matumizi ya ardhi.

Kaimu
Mkurugenzi wa Uratibu, Sera na Mawasiliano wa Tume
Bi. Albina Burra akitoa maelezo mafupi kwa Mkurugenzi wa Tume
hiyo Dkt. Stephen Nindi kuhusiana na kazi kazi ya kikosi kazi ya
kukamilisha andiko la Mkakati wa changamoto za mato za matumizi ya Ardhi
ikiwa ni pamoja na kuandaa mwongozo na kubadili andiko kwa lugha ya
kingeleza ili lipate kusomwa na wafadhiri pia wadau wengine.
Afisa
Mipango kutoka Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi Bw. Gerald
Mwakipesile (wa kwanza kulia) akiwapitisha kikozi kazi katika maeneo
mbalimbali ya kukamilisha mkakati wa kutatua changamoto za matumizi ya
Ardhi nchini.
Afisa
Tawala wa Tume ya Taifa ya Mipango ya matumizi ya Ardhi Bi. Nakivona
Rajabu akitoa mrejesho wa kikao kilichofanyika na Mh. William Lukuvi
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipokuwa anakabidhiwa
Rasimu ya Mkakati wa kukabiliana na changamoto za matumizi ya Ardhi cha
tarehe 14.08.2017 mjini Morogoro.
Wanakikosi kazi wakiwa wanafuatilia mrejesho huo
Wanakikosi
kazi wakiwa katika makundi kwa ajili ya kushirikiana kwa pamoja
kulibadili andiko la mkakati wa kukabiliana na changamoto za matumizi ya
Ardhi kwa lugha ya kingeleza ili uweze kuja kusomwa na wafadhiri pamoja
na wadau wengine mbalimbali.


Bw. Paulo Tarimo  kutoka Wizara ya Kilimo akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.
Bw. Emmanuel Msofe kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, akitoa maoni yake wakati wa mkutano huo.
Bwana Daniel Ouma(kushoto) Afisa Miradi kutoka TNRF akichangia jambo wakati kikosi kazi kikiendelea na kazi.
Bw.
Mbaraka Stambuli kiongozi wa Kipengele cha maendeleo ya kisera na
kitaasisi katika programu ya kuwezesha umilikishwaji wa Ardhi,
akichangia jambo la maboresho wakati wa kubadilisha andiko katika lugha
ya kingeleza.
Bwana
Herman Nyanda Afisa wanyama pori (TAWA) mwandamizi katika dawati la
ushirikishwaji jamii katika uhifadhi wa wanyama pori akichangia hoja
wakati shughuli ya kubadilisha andiko katika lugha ya kingeleza
inaendela
Kikosi kazi wakiendelea na kazi
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIKOSI KAZI SEKTA YA ARDHI CHAKUTANA KUREJEA MWONGOZO NA KUKAMILISHA MKAKATI,MOROGORO
KIKOSI KAZI SEKTA YA ARDHI CHAKUTANA KUREJEA MWONGOZO NA KUKAMILISHA MKAKATI,MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-xpakMQaoLVM2TKKsuYlN2MPiVh1kvo6J_GI9E9AVM9gHtiMj4wfvQnRTTonQsPuNa_0OFWBP8qRb51SCX880kgFIO-_CQ29AqTu2vLe8ASxq1megMoYQ7gTFRKmjgbe57hjCGvmeaVLv/s640/11.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-xpakMQaoLVM2TKKsuYlN2MPiVh1kvo6J_GI9E9AVM9gHtiMj4wfvQnRTTonQsPuNa_0OFWBP8qRb51SCX880kgFIO-_CQ29AqTu2vLe8ASxq1megMoYQ7gTFRKmjgbe57hjCGvmeaVLv/s72-c/11.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kikosi-kazi-sekta-ya-ardhi-chakutana.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kikosi-kazi-sekta-ya-ardhi-chakutana.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy