BENKI YA WALIMU, (MCB), YAUNGANA NA WATEJA WAKE KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

  Meneja wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole,(kulia), a...




 Meneja wa Mwalimu Commercial
Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam,
Bi. Leticia Ndongole,(kulia), akimpatia zawadi, mmoja wa wateja wa
benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Oktoba
4, 2017, kwenye tawi la benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es
Salaam.
NA
K-VIS BLOG
Wiki
ya kwanza ya Mwezi Oktoba kila mwaka, hutumika kama Wiki ya Huduma kwa
Wateja Duniani, ambapo taasisi za umma na binafsi, hujumuika pamoja na
wateja wao kwa lengo la kuonyesha mahusiano mema katika kutoa huduma
na pia kuzunhumzia changamoto za kihuduma kwa mwaka mzima na hatimaye
kutafuta njia za kuzitatua changamoto hizo. Kwa upane wake, MCB
iliwaalika wateja wake, na kujumuika nao kwenye tawi la benki hiyo,
barabara ya Samora jijini Dar es Salaam, ambapo viongozi wa benki hiyo
walitumia wasaa huo kuwashukuru, wateja lakini pia kuwahamasisha zaidi
kutumia huduma za benki hiyo ambazo ni pamoja na
kutoa gharama nafuu na rafiki
za kibenki na ni
suluhisho la kifedha kwa walimu, watumishi wa serikali, wafanyabiashara,
wakulima na wananchi kwa ujumla. Hali kadhalika huduma za ATM ambazo
zinapatikana Umoja Switch wenye mtandao mpana nchi
nzima.
Maafisa wa benki hiyo pia ili
kurahisisha huduma zaidi za kibenki, pia huduma ya kiganjani, sim
banking ni miongoni mwa huduma zitolewazo na benki
hiyo.
Katika hafla hiyo, MCB ilitoa
zawadi mbalimbali kwa wateja ili kuonyesha shukrani na kuwaahidi
kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
 Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole,(kulia), akimpatia zawadi, mmoja
wa wateja wa benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa
Wateja Oktoba 4, 2017, kwenye tawi la benki hiyo barabara ya Samora
jijini Dar es Salaam.
 Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole,(kulia), akimpatia zawadi, mmoja
wa wateja wa benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa
Wateja Oktoba 4, 2017, kwenye tawi la benki hiyo barabara ya Samora
jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Huduma kwa Wateja,
MCB, Bi.Flora C. Mbogo, akziungumza wakati wa hafla hiyo.
 Mkuu wa
Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo,  Bw. Valence Luteganya,
(kulia), akizungumza kwenye hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni
Meneja wa Huduma kwa Wateja, MCB, Bi.Flora
C. Mbogo,na 
Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole.
 Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole, (kushoto), akiwa na
Mkuu wa
Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo,  Bw. Valence Luteganya, wakati
akizungumza na wateja wa benki
hiyo.
 Viongozi wa MCB, wakiungana na
baadhi ya wateja wao kukata keki, ikiwa ni ishara ya kusherehekea
pamoja katika kipindi cha wiki ya Huduma kwa Wateka, wkenye tawi la
benki hiyo la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam.
 Meneja wa Huduma kwa Wateja,
MCB, Bi.Flora C. Mbogo,akikata keki.
  Meneja
wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji
la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole, akimlisha keki, mmoja wa
wateja waliohuduria hafla hiyo.
 Wafanyaakzi wa MCB, wakiwa
katika picha ya pamoja.
 Baadhi ya wateja waliohudhuria
hafla hiyo kwa kutumia simu zao wakirekodi matukio.
 Mkuu wa
Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo,  Bw. Valence
Luteganya,(kushoto), akifurahia pamoja na wafanyakazi wenzake wakati
akitambulisha picha ya Mfanyakazi bora wa mwezi wa benki hiyo, Bw.
Ombeni S. Kaale.
 Picha ya pamoja ya wafanyakazi
na wateja wa MCB.
Baadhi ya wafanyakazi wa MCB.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BENKI YA WALIMU, (MCB), YAUNGANA NA WATEJA WAKE KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI
BENKI YA WALIMU, (MCB), YAUNGANA NA WATEJA WAKE KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx8_1hYFdxvz4taxmoBEayhbVZ3_shaALU0z3PTCeuMZsfrwmnqcvXQIIFvIUbJdzO1XlmHOvkqbQjTGEMyZndVQ6tKNentbkVTTof9FL4xMwZL3Ub_EFQyat3u_MNpkNiwaOJTLxIsGTP/s640/p19.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx8_1hYFdxvz4taxmoBEayhbVZ3_shaALU0z3PTCeuMZsfrwmnqcvXQIIFvIUbJdzO1XlmHOvkqbQjTGEMyZndVQ6tKNentbkVTTof9FL4xMwZL3Ub_EFQyat3u_MNpkNiwaOJTLxIsGTP/s72-c/p19.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/benki-ya-walimu-mcb-yaungana-na-wateja.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/benki-ya-walimu-mcb-yaungana-na-wateja.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy