AZANIA BANK YASAIDIA KATIKA ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU NA UCHUNGUZI WA SARATANI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dkt Giliard Masenga (Mwenye miwani) akiwaongoza Maafisa wa Benki ya Azania wal...




Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dkt Giliard Masenga (Mwenye miwani) akiwaongoza Maafisa wa Benki ya Azania waliofika katika Hosptali hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada katika Juma la utoaji elimu ya Saratani Mkoani Kilimanjaro.

Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe akikabidhi msaada wa vinywaji baridi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dkt Giliard Masenga kwa ajili ya wiki ya utoaji elimu ya Elimu juu ya ugonjwa wa Saratani pamoja na uchunguzi.wengine kulia ni ,Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali hiyo, Dkt Furaha Silventi na Afisa Mipango-KCMC, Kiula Kiula na Maafisa waandamizi Benki ya Azania kanda ya Kaskazini, Ali Duru na Caroline Mugendi (kushoto)
Sehemu ya Msaada wa vinywaji baridi uliotolewa na Benki ya Azania .
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dkt. Giliard Masenga akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani- KCMC, Dkt Furaha Silventi.

Maofisa Waandamizi wa Benki ya Azania kanda ya Kaskazini na Viongozi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC wakiwa katika picha ya pamoja bara baada ya kukabidhiwa msaada wa vinywaji baridi.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dkt Giliard Masenga akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo.

Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dkt Furaha Silventi akizungumza jambo na Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi. Hajira Mmambe.

Baadhi ya washiriki wa Semina inayoendelea katika ukumbi mdogo wa kitengo cha Saratani inayohusu utoaji wa elimu juu ya Saratani .
Meneja wa Azania Bank, tawi la Moshi, Hajira Mmambe akizungungumza na washiriki wa Semina hiyo mara baada ya kuhitimisha zoezi la kutoa msaada.

Maafisa waandamizi wa Benki ya Azania kanda ya Kaskazini wakitembelea maeneo mbalimbali ya kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AZANIA BANK YASAIDIA KATIKA ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU NA UCHUNGUZI WA SARATANI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
AZANIA BANK YASAIDIA KATIKA ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU NA UCHUNGUZI WA SARATANI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUBpt1gbljULI0rleXJOrWrgZpifVtFD1LcL1axfPs7XML0w4E_PY-afoBj_PdQbzdza_sNahuwhdpfnTOhl3kj2KIq0EFiTZHj75jyrBcReAEQFpXm_grJBOZRqywzrSyShi_URy31ikL/s640/IMG_0501.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUBpt1gbljULI0rleXJOrWrgZpifVtFD1LcL1axfPs7XML0w4E_PY-afoBj_PdQbzdza_sNahuwhdpfnTOhl3kj2KIq0EFiTZHj75jyrBcReAEQFpXm_grJBOZRqywzrSyShi_URy31ikL/s72-c/IMG_0501.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/azania-bank-yasaidia-katika-zoezi-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/azania-bank-yasaidia-katika-zoezi-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy