WAZIRI MWAKYEMBE AWAONGOZA WANAHABARI KUUAGA MWILI WA MUHINGO RWEYEMAMU DAR
HomeJamii

WAZIRI MWAKYEMBE AWAONGOZA WANAHABARI KUUAGA MWILI WA MUHINGO RWEYEMAMU DAR

 Roseline Rweyemamu (katikati) ambaye ni Mjane wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe, Muhingo Rweyemamu, akiweka...

RC PAUL MAKONDA AKIHUTUBIA WAKAZI WA KEKO MCHANA HUU
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ATUNUKU SHAHADA NA STASHAHADA KATIKA MAHAFALI YA CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA
RC MAKONDA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUIJENGA DAR MPYA KWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

 Roseline Rweyemamu (katikati) ambaye ni Mjane wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe, Muhingo Rweyemamu, akiweka shada la Ua juu ya Kaburi la mumewe wakati maziko katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jioni hii.

 Watoto wa Marehemu, Muhingo Rweyemamu ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA NA VENANCE NESTORY

 Wakuu wa Wilaya Wastaafu, wakiweka Shada la Ua juu ya Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe, Muhingo Rweyemamu wakati wa maziko katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.


 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu (wa pili kushoto), akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo na Burudani (TASWA), Juma Pinto wakati wa shughuli ya kumuaga mwanahabari mkongwe, marehemu  Muhingo Rweyemamu. Kulia ni Benny Kisaka na Mwandishi wa habari za Michezo wa Gazeti la Jambo Leo, Asha Kigundula

 Sehemu ya waombolezaji wakisubiri kuaga mwili wa  marehemu Rweyemamu

 Wanahabari wakirekodi tukio hilo



 Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mtanzania, ambaye pia alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu Muhingo, akitoa salamu za rambirambi

 Mtoto wa marehemu Muhingo, Emmanuel  akisoma wasifu wa marehemu babake

 Wajumbe wa kamati ya mazishi ya marehemu, Muhingo, wakijadiliana jambo wakati wa kuuaga mwili. Kutoka kushoto ni Joyce Mmasi, Mgaya Kingoba, Theiphil Makunga, Abubakar Liongo na Benjamin Thomson

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk, Harrison Mwakyembe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Muhingo kwenye viwanja vya Mnazi mmoja Dar es Salaam

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Muhingo

 Sophia Mjema akimfariji mjane wa Muhingo, Roseline

 Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe akimfariji mjane wa marehemu Muhingo, Rweyemamu

 Waombolezaji wakipita kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu,Muhingo

 Mpigapicha Mkuu wa zamani wa gazeti la HabariLeo, Athuman Khamisi akimfariji mjane wa marehemu, Roseline

 Baadhi ya wanahabari wakitoa heshima za mwisho, mbele ni Nyaronyo Kicheere

 Wanahabari wakitoa heshima za mwisho



 Mama mkwe wa marehemu, Muhingo, akilia baada ya kutoa heshima za mwisho

 Roseline Rweyemamu (katikati) ambaye ni Mjane wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe, akiugusa mwili wa mumewe wakati wa kuaga.

Waandishi wa habari wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari Mkongwe, Muhingo Rweyemamu baada ya kuutolea heshima za mwisho kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MWAKYEMBE AWAONGOZA WANAHABARI KUUAGA MWILI WA MUHINGO RWEYEMAMU DAR
WAZIRI MWAKYEMBE AWAONGOZA WANAHABARI KUUAGA MWILI WA MUHINGO RWEYEMAMU DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXo3d8iPj4OEwNnkcxgh1Q1UIvTzZuQWpOJiOXolup9gEKuxpQ79xqXEKSXVInd3YJgBh-wrLm4EG4EHArXzo9EvfcKVXoWe6eBVhwqFbGnFC-MY9nCaJht6eb3FbHOxIDbk8GsunMd9fa/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXo3d8iPj4OEwNnkcxgh1Q1UIvTzZuQWpOJiOXolup9gEKuxpQ79xqXEKSXVInd3YJgBh-wrLm4EG4EHArXzo9EvfcKVXoWe6eBVhwqFbGnFC-MY9nCaJht6eb3FbHOxIDbk8GsunMd9fa/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/waziri-mwakyembe-awaongoza-wanahabari.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/waziri-mwakyembe-awaongoza-wanahabari.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy